Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Mama mzazi wa Magufuli alimuonya sana Kikwette kuhusu kumfanya Magufuli awe mgombea wa CCM.

Mkapa kwa sababu alimuibua kwa mara ya kwanza kuwa NW Ujenzi na kisha kumpa uwaziri, alidhani kuwa ataweza kumdhibiti kama Nyerere alivyomdhibiti Mwinyi.

Kuhusu faili la ukichaa Mirembe: TISS walifanya kazi yao lakini Waziri wa Utawala Bora wa wakati huo Chikawe alificha faili lisifike kwenye kamati kuu ya CCM.

Baada ya kustaafu Chikawe mwaka 2016 akazawadiwa Ubalozi huko Japan
 
Kwa hiyo uliamini? Lawi Sijaona?
Mkuu,

Sikuamini. Ila nikakaa na kaka mkubwa A. Burito mwenyewe na nika notice mambo fulani hivi yaliyokuwa yana corroborate hiyo story. Ni tatizo la familia.

Kaka mkubwa hata akija hapa JF huwa kuna siku yuko fresh anapiga nondo za kweli, kuna siku yuko tia maji tia maji hata kumuelewa tabu.

Watu wanaomfuatilia hapa JF wanajua.
 
Mnaongea mambo magumu🤔🤔🤔
 
Huyo mama si ni mgonjwa siku nyingi tu!

Kwa hiyo, kama unachosema ni kweli, huyo mama alikuwa okay na Magufuli kuwa waziri lakini siyo kuwa Rais?

This is Chai tea 🤣.
 
Hata kama wengine tuna matatizo ya akili, hatujagombea uongozi wa umma.

Tatizo si kuwa mgonjwa wa akili.

Ugonjwa ni ugonjwa tu tunakutibu huna hatia kwa sababu huo ni ugonjwa tu.

Tatizo ni kuwa mgonjwa halafu unataka kuwa rais na uongozi wa nchi unakuachia uwe rais.
 
Kama Kichaa alikuwa Rais, huyo mzima alikuwa wapi?
 
Kaka watu wa humu wanapenda kuuziana chai na story za vijiweni ambazo hazina ushahidi.
 

Be very careful with the people like Kabendera. They can do anything to meet their ends.
 
Ukichaa uko wa aina nyingi na una stages zake, as report ya mtaalam kuwa watanzania wengi wana ukichaa haimaanishi wanaokota makopo
 
Chai hizi!!! Ulikuwepo wakati huyo bi mkubwa akimuonya Kikwete. Huyo Kikwete na Mkapa ukiwambia wakutajie mawaziri wake bora watakuambia Magu, Kikwete alikuwa akimwita Magu Jembe. Hebu achenii kuwauzia watu chai na story zenu za kutunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…