Viongozi wa juu wa serikali kama ni kweli wajua kwamba "mahakama hazitendi haki" mpaka wakazikwepa ktk mikataba. Sasa hizi mahakama zetu kwanini ziendelee kuwepo na zikiendeshwa kwa gharama kubwa na zikiwa zinaumiza watanzania kwa kutowapatia haki zao?
Ama ina maana watanzania siyo wawekazaji katika nchi yao ndiyo maana wao haki zao hazinyonwyi na mahakama?
Ama ina maana watanzania siyo wawekazaji katika nchi yao ndiyo maana wao haki zao hazinyonwyi na mahakama?