Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

Cha kushangaza unaweza kukuta hao wanaochepusha maji wanakula mlungula na wanaohusika kukagua mradi.
 
ZAMA ZA MTU ZIKISHAPITA HATUNA BUDI KUKUBALIANA YALIYOPITA NA KUYASAHAU KWA SABABU HAYAWEZI KUTUSAIDIA TENA,KWA SASA TWENDE NA MAMA,YAKALE YAMEPITA TUYAPOKEE MAPYA,TUMSAPOTI RAIS WETU,TUMTIE MOYO,TUMPE USHAURI ILI NAYE AWEZE KUFANYA KAZI VIZURI KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE.
 
Unajua kusoma na kuandika?
 
JPM alikuwa muongo bana! Hili linchi lina laana tunahitaji maombi! Few stupid people wanatuchezea kihuni alafu tunakubali propaganda za kumchafua JPM!

Hivi kipindi JPM akiapa hakuna njaa nchi hii mnajua kuna watu walimkejeli? Hii nchi huwezi kuiendeleza kwa kuchekacheka na wapuuzi.
 
JPM aliua gesi! Mitambo ilikuwa haifanyiwi maintenance! Maji yamepungua sababu ya ukame! Stupid!
 
Mkuu ipo sheria, Water Resources Management Act.Ni tu waliokabidhiwa mamlaka wanacheza ping pong,so sad.
 
Kwa hiyo wenye majina ya kumiliki mabonde ya mito wanakula pishi za bure tu hawalindi wala kutazama mabonde vyao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…