Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

Cha kushangaza unaweza kukuta hao wanaochepusha maji wanakula mlungula na wanaohusika kukagua mradi.
 
ZAMA ZA MTU ZIKISHAPITA HATUNA BUDI KUKUBALIANA YALIYOPITA NA KUYASAHAU KWA SABABU HAYAWEZI KUTUSAIDIA TENA,KWA SASA TWENDE NA MAMA,YAKALE YAMEPITA TUYAPOKEE MAPYA,TUMSAPOTI RAIS WETU,TUMTIE MOYO,TUMPE USHAURI ILI NAYE AWEZE KUFANYA KAZI VIZURI KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE.
 
Unajua kusoma na kuandika?
 
JPM alikuwa muongo bana! Hili linchi lina laana tunahitaji maombi! Few stupid people wanatuchezea kihuni alafu tunakubali propaganda za kumchafua JPM!

Hivi kipindi JPM akiapa hakuna njaa nchi hii mnajua kuna watu walimkejeli? Hii nchi huwezi kuiendeleza kwa kuchekacheka na wapuuzi.
 
JPM aliua gesi! Mitambo ilikuwa haifanyiwi maintenance! Maji yamepungua sababu ya ukame! Stupid!
 
MATAGA wakijadiliana kuwa watu wanaofanya kilimo cha kisasa cha umwagiliaji wanahujumu matumizi ya maji👇🤡🤡🤡
1637308571637308570.jpg
 
Hivi mto ukipita kijijini kwangu nikitumia fursa ya hayo maji kwa kilimo nitakuwa navunja sheria?
Hili jambo litakuwa limeumiza watu wengi sana kama hakuna sheria inayokataza jambo hili serikali iburuzwe mahakamani
Imagine tu mchina kuzuiwa kutumia haya maji anaenda kupata hasara kiasi gani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu ipo sheria, Water Resources Management Act.Ni tu waliokabidhiwa mamlaka wanacheza ping pong,so sad.
 
Kwa hiyo wenye majina ya kumiliki mabonde ya mito wanakula pishi za bure tu hawalindi wala kutazama mabonde vyao?
Kutumia maji ya mto kwa shughuli za kiuchumi kama kumwagilia mashamba au kufuga samaki siyo kuhujumu.

Infact serikali yenyewe ina encourage watu kulima kilimo cha umwagiliaje.

Na hii mito yote iko chini ya mamlaka za mabonde ambao ndo wana ratibu matumizi ya maji kwa ajili ya shughuli mbalimbali.

Kitendo cha kuwafungia maji kwa nguvu na kuwakamata watu wanao fanya shughuli zao halali ni ukiukwaji wa haki zao. Jambo hili lilitakiwa kuwa la mazungumzo badala ya nguvu
 
Back
Top Bottom