Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wewe umelewa bhange ya chatouUmelewa gongo la mabibo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umelewa bhange ya chatouUmelewa gongo la mabibo
Endelea kujifariji wewe mlamba mavi wa kichaa mwenzako,Vichaa wenzake ndio mumpende inatosha.Upo huru ki avator, lakini una utumwa wa akili! Kumshambulia baba wa watu haibadilishi ugumu wa maisha yako.
Love every body even your enemy for betterness of your health
Labda ungeulizia yule mbwa aliyekufa kwa Corona.Huko nyuma umejikagua?
Endelea kunywa ulakaWewe umelewa bhange ya chatou
Umejifuta vizuri huko...?Labda ungeulizia yule mbwa aliyekufa kwa Corona.
Alikuwa akifutwa kila siku akitoka uwanja wa maonesho yule mbwa.Umejifuta vizuri huko...?
Kilimo cha umwagiji kinaenda kufa soonKwamba mchina na karoti zake mdio walimaliza maji ya Ruvu?
Believe this, and you'll believe anything!
Unajua kusoma na kuandika?ZAMA ZA MTU ZIKISHAPITA HATUNA BUDI KUKUBALIANA YALIYOPITA NA KUYASAHAU KWA SABABU HAYAWEZI KUTUSAIDIA TENA,KWA SASA TWENDE NA MAMA,YAKALE YAMEPITA TUYAPOKEE MAPYA,TUMSAPOTI RAIS WETU,TUMTIE MOYO,TUMPE USHAURI ILI NAYE AWEZE KUFANYA KAZI VIZURI KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE.
Unasemaje GreysonUnajua kusoma na kuandika?
Hapo wanamsubiri mungu wao afufuke!MATAGA wakijadiliana kuwa watu wanaofanya kilimo cha kisasa cha umwagiliaji wanahujumu matumizi ya maji👇🤡🤡🤡
View attachment 2018825
Mkuu ipo sheria, Water Resources Management Act.Ni tu waliokabidhiwa mamlaka wanacheza ping pong,so sad.Hivi mto ukipita kijijini kwangu nikitumia fursa ya hayo maji kwa kilimo nitakuwa navunja sheria?
Hili jambo litakuwa limeumiza watu wengi sana kama hakuna sheria inayokataza jambo hili serikali iburuzwe mahakamani
Imagine tu mchina kuzuiwa kutumia haya maji anaenda kupata hasara kiasi gani
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Imagine waziri anakataza kilimo cha kisasa cha umwagiliaji kuwa kinahujumu matumizi ya maji🐒🐒🐒Hapo wanamsubiri mungu wao afufuke!
Kutumia maji ya mto kwa shughuli za kiuchumi kama kumwagilia mashamba au kufuga samaki siyo kuhujumu.
Infact serikali yenyewe ina encourage watu kulima kilimo cha umwagiliaje.
Na hii mito yote iko chini ya mamlaka za mabonde ambao ndo wana ratibu matumizi ya maji kwa ajili ya shughuli mbalimbali.
Kitendo cha kuwafungia maji kwa nguvu na kuwakamata watu wanao fanya shughuli zao halali ni ukiukwaji wa haki zao. Jambo hili lilitakiwa kuwa la mazungumzo badala ya nguvu
Endelea kulinda mahame hapo kwenu burigiEndelea kunywa ulaka
Jingalao ni yupi hapo?MATAGA wakijadiliana kuwa watu wanaofanya kilimo cha kisasa cha umwagiliaji wanahujumu matumizi ya maji[emoji116][emoji1782][emoji1782][emoji1782]
View attachment 2018825