GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha Ndoa na Tamaa ya Fedha za Diamond...
Mama Dangote (Mama yake Diamond) ni Mkali kupitiliza
Mama Dangote (Mama yake Diamond) huwa anawapiga / anawawamba sana Makofi Wanawake wa Mwanae
Mama Dangote (Mama yake Diamond) ana Gubu sana na Mnyanyasaji fulani hivi
Na taarifa zaidi zinadai kwamba kumbe hata sababu za Wanawake warembo aliokuwa nao Diamond huko nyuma kuanzia Wema, Mobeto wa Aziz K na wengineo walishindwa kutokana na Kuwambwa Makofi na Mama Dangote hadi Mashavu yao Kuvilia kwani Mama ana Mikono iliyokomaa utadhani Jiwe la FATUMA.
Na ili kuonyesha kuwa Mama Dangote (Mama yake Diamond) hatanii katika Suala zima la Kuwamba Makofi Wapenzi wa Mwanae hivi juzi tu hata kabla ya Diamond na Zuchu kwenda Zanzibar katika TRACE AWARDS ni kwamba Zuchu alichezea Makofi kisha akakimbilia Jikoni na baadae Mpenzi wake akaja Kumuokoa.
Hivyo pamoja na kwamba jana Zuchu kapafomu ile mbaya huko Zanzibar ila anajikaza tu kwani Mashavu yake bado yana Maumivu na ndiyo maana hata jana kila Watu wakienda Kumtumza na kutaka kama vile Kumhagi na Kumchumu alikuwa akichomoa / akikataa kwani Mashavu yote yalishakuwa Pancha kwa Kuwambwa Makofi na Mama Dangote.
Na GENTAMYCINE nimalizie tu kwa kusema kuwa hizi tabia alizonazo Mama yake Diamond (Mama Dangote) wanazo akina Mama wengi sana na sijui huwa wanataka nini. Mwanamke nimempenda Mimi iweje tena Mama yangu Mzazi unipangie jinsi ya kuishi nae na huku tena bado ukiwa Unampiga na Kumnyanyasa?
Na Wewe Diamond ni Mtoto wa Kiume kamwe Mama yako asikushikie Akili fanya Maamuzi uyaonayo sahihi Wewe Oky?