technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Usijiulize sana, wewe kama mwanaume jukumu lako ni kutimiza yote!! Mpe bao nyingi, mpe pesa, mpe maisha, akizingua aondoke aje mwingine haraka sana.Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
InawezekanaManara ndio Tatizo
Mmhhhh....... Million [emoji817]???? Seriously!!!
WeweMmhhhh....... Million [emoji817]???? Seriously!!!
Unakumbuka hadithi ya mfalme na nyama ya ulimi? Mapenzi ni sanaa na si ukwasiKuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Zim dollarMmhhhh....... Million [emoji817]???? Seriously!!!
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Ongea na Shetani vzur atakueleza mchongo wote waliongea nn pale edenKuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Unajidanganya, kuna wanaume wanakula Raha ya mapenzi hata pesa nyingi hawana , na ndo wengi kuliko wenye pesa .... Kama huna muonekano mzur utaishia kuwa stressed na kutafta pesa , wanaume wenye muonekano mzur only little money needed to enjoy ...TAFUTA PESA siyo vijipesa.
Lakini baada ya yote hata ukiwa na pesa siyo guarantee hautaachwa, lakini ukiwa na pesa baada ya kuachwa utaendelea kula unachotaka ila ukiwa huna pesa utakula kilichopo au usile kabisa.
TAFUTA PESA: Kwa ajili yako, wanawake ni nyongeza tu ktk matumizi ya pesa zako.
HEEEHHH...... WE UTAKUWA MASKINI SANA. MANARA UNAMWONA ANA PESA? NYIE NDO MAANA MNACHEZEWA MNAACHWA.Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.