Kama Manara kaachwa kumbe tatizo sio pesa

Kama Manara kaachwa kumbe tatizo sio pesa

Ni ngumu sana kuishi na mwanaume mwenye mdomo, hata uwe na hela plus muonekano
 
Hakuna mwanaume anaweza kumtuliza mwanamke labda aamue kutulia mwenyewe siku niliona interview ya Jack ma kuhusu mke wake kulalamika kwamba hana mda naye nikasema kweli mapenzi hayana mwenyewe na mwanamke hajui anataka nini.
 
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.

Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!

Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni

Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?

Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Hahaha
 
Back
Top Bottom