Kama Manara kaachwa kumbe tatizo sio pesa

Matusi kawaiidaaa yake yule baba kwanza mlevi Hata Ile anayosema kazimia muongo itakua alikua kalewa akazina[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]anatukana mnooo manara
Anashangaa, kama alizimia, alijuaje kama huyo demu hakumuinua?
Huo ni ujumbe wa huyo Demu aliyemkimbia.
 
Inahitaji kuwa mwanaume wa kiume kweli kweli unapoamua kuoa
Wanawake wanasemwa kuwa dhaifu lakini sio wepesi vile ndio maana mmeambiwa muishi nao kwa akili

Sie akili zetu anazijua muumba mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc DeepPond
Msemo wako uko real 100%
Pesa haijawahi kua kila kitu kwny mahusiano[emoji1431]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah hela ni kama limao tu kwenye mboga, ikiwepo inaongeza ladha ya mapenzi ila sio final.

Mie naweza kuwa nampa quality time tu mwanamke na kumfanya afurahi mda wote akiwa around me na analika vizuri tu wala haina kipengele.

Madomo zege ndio huwa wanafikiriaga hela ndio kigezo cha kumtuliza mwanamke ila bahati mbaya hawajui kuwa haifanyi kazi kwa wanawake wote hio.
 
mwanamke alichofata kwa manara umaarufu na kaupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…