hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Ukitaka mapenzi yasikuumize jifunze forex
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha
ni noma mkuuTena usiombe ukaachwa bila taarifa!. Unakomazwa ndani na nje!,halafu Kuna watu wanavipaji huyohuyo aliekuacha bila taarifa anakurudia ukikataa anakuroga!,akishaona limbwata limekolea vizuri ndo anakuacha Sasa na taarifa.. usiombe kuachwa huku limbwata bado linafanya kazi unaweza kuuma Pete ya uchumba ukaimeza mbaya zaidi ukute aliekuacha ni mchawi anajua namna ya ku update limbwata.. mengine mi nimewaachia walimwengu...[emoji1787]
Forex imekufanya nini dada mkuu?Ukitaka mapenzi yasikuumize jifunze forex
Forex inakufanya uwe na roho/moyo mgumuForex imekufanya nini dada mkuu?
π sasa mbona mbuzi tena ?Forex inakufanya uwe na roho/moyo mgumu
Imagine unalala ume trade $ kadhaa unaamka hakuna kitu na una trade Tena Ile Hali hakupata na kupoteza huwa inakufanya inakupa strength mbuzi yoyote akikwambia Half American Mimi na wewe basi you just response with a smile "all the best dear" na maisha yanaendelea
Umeongea KWA uchungu sana,Tena usiombe ukaachwa bila taarifa!. Unakomazwa ndani na nje!,halafu Kuna watu wanavipaji huyohuyo aliekuacha bila taarifa anakurudia ukikataa anakuroga!,akishaona limbwata limekolea vizuri ndo anakuacha Sasa na taarifa.. usiombe kuachwa huku limbwata bado linafanya kazi unaweza kuuma Pete ya uchumba ukaimeza mbaya zaidi ukute aliekuacha ni mchawi anajua namna ya ku update limbwata.. mengine mi nimewaachia walimwengu...[emoji1787]
Forex ni zaidi ya mapenziUkitaka mapenzi yasikuumize jifunze forex
Rafiki yangu alini introduce forex nikadhani nyepesi Kwa namna alivyokuwa ananieleza.Niliingia Kwa hamu Sana nikaja liwa vibaya Sana wiki nzima roho inauma Hadi naiskia Inavyouma.Nilivyopona sijawahi rudia Tena.Forex inakufanya uwe na roho/moyo mgumu
Imagine unalala ume trade $ kadhaa unaamka hakuna kitu na una trade Tena Ile Hali hakupata na kupoteza huwa inakufanya inakupa strength mbuzi yoyote akikwambia Half American Mimi na wewe basi you just response with a smile "all the best dear" na maisha yanaendelea
Kama unajua kuwa kuna kupata na kukosa, mapenzi wala hayakupi shida, ni upuuzi mtupu.Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi.
Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity.
Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua hujapevuka yaani unakuwa mtu mkubwa na sio mtu mzima (tofautisha)
π π π π π π π
Ukiona mapenzi yanakuumiza jua bado hujakua .Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi.
Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity.
Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua hujapevuka yaani unakuwa mtu mkubwa na sio mtu mzima (tofautisha)
Ngoja nisubir zamu yangu, Sijui kama yataniacha salama maana nimekolea sana kama nyongo kwenye supu ya kuku[emoji28][emoji174]
Kiufupi hiyo ni stage, hata hao watu wazima waliipitiaUkiona mapenzi yanakuumiza jua bado hujakua .
Watu wazima wameshavuka hiyo hatua wanachoangalia ni maisha tu.
Vijana wa foolish age ndio wanaumizwa na mapenzi kiasi kwamba wanashindwa kufanya mambo ya msingi kisa mapenzi.