Kama mapenzi hayajawahi kukuumiza jua wewe bado hujakua

Kama mapenzi hayajawahi kukuumiza jua wewe bado hujakua

Ukiona mapenzi yanakuumiza jua bado hujakua .

Watu wazima wameshavuka hiyo hatua wanachoangalia ni maisha tu.

Vijana wa foolish age ndio wanaumizwa na mapenzi kiasi kwamba wanashindwa kufanya mambo ya msingi kisa mapenzi.
Acha kujifariji wewe, Matajiri wangapi yanawatoa kamasi unawazidi nini😅
Watumishi wa Mungu na Viongozi wa serikali unawazidi nini? Sema ushajikatia tamaa na Mapenzi nitakuelewa.
 
Rafiki yangu alini introduce forex nikadhani nyepesi Kwa namna alivyokuwa ananieleza.Niliingia Kwa hamu Sana nikaja liwa vibaya Sana wiki nzima roho inauma Hadi naiskia Inavyouma.Nilivyopona sijawahi rudia Tena.
Utarudi tu [emoji23]
 
😂😂😂😂 Rudia mkuu, Tena na Tena Ile Hali inakufanya unakuwa strong hakuna mbuzi atakusumbua
 
Tena usiombe ukaachwa bila taarifa!. Unakomazwa ndani na nje!,halafu Kuna watu wanavipaji huyohuyo aliekuacha bila taarifa anakurudia ukikataa anakuroga!,akishaona limbwata limekolea vizuri ndo anakuacha Sasa na taarifa.. usiombe kuachwa huku limbwata bado linafanya kazi unaweza kuuma Pete ya uchumba ukaimeza mbaya zaidi ukute aliekuacha ni mchawi anajua namna ya ku update limbwata.. mengine mi nimewaachia walimwengu...🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 konokono una mapitoooo!
 
Back
Top Bottom