Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

We uelewa wako sio mzuri, mkutano wa UN unahusikaje na BRICS? Yaani mkutano unahusu balaza la usalama la UN halafu ukafanyikie Brazil wakati Russia ni parmanent member na makao makuu ya UN yako NY! We unaelewa kweli hata unachoongelea?
 
Makao makuu ya kanisa la sabato yako Marekani.
Makao makuu ya mashahidi wa yehovah yako marekani.

Ellen G White alikuwa raia wa maerkanj.
 
Hahaha, mtu anaishi kwa watu anaweka Sheria za kwao ambazo hazijawahi kumkomboa toka kwenye umaskini
 
Nchi mzuri ya kuishi na Takatifu ni SOMALIA na SUDANI.
Kwa mujibu wa Dini ya Haki.
 
acha utaahira wewe, mikutano ya UN inafanyika New york, ulitaka asilalamike anapozuiwa kuingia Newyork kwenye mkutano wa UN?....

hata august mkutano wa BRICS utafanyika South Africa,.......

nyie vijana mbona akili zenu mmejaza matope sana aiseee
 
acha utaahira wewe, mikutano ya UN inafanyika New york, ulitaka asilalamike anapozuiwa kuingia Newyork kwenye mkutano wa UN?....

hata august mkutano wa BRICS utafanyika South Africa,.......

nyie vijana mbona akili zenu mmejaza matope sana aiseee
Waandae mkutano wao wa BRICS huko kwao South Africa au Russia ama Brazil kama wanalazimisha kuingia New york maana yake bado hizo nchi zinauhitaji mkubwa wa US., ndio maana nimekwambia US ni taifa ambalo hata izo nchi zako zinaiyona US kama lulu
 
Yesu alipandishwa mlimani na shetani kuonyeshwa utajiri wa dunia, nafikiri kidole cha shetani kilielekea Marekani. Jibu Ni kwamba wanafuata neema za shetani.
 

sababu mamilioni ya watu wanapenda ushetani
 
Wanaopenda kwenda kuishi marekani ni watu wenye chembechembe za ushetani. Watu wenye hofu ya mungu sidhani kama wanapenda kwenda kuishi marekani
Thubutu watu wote wanapenda kuishi marekani , wengine sizitaki mbichi hizi, nani asiyependa good pay na better health care
 
Marekani ni nchi ya asali na maziwa, nchi ya ahadi (Kanani).
( the land of milk and honey wenyewe ndo wanaita hivo)
 
ℍ𝕦𝕦 π•Ÿπ•š π•žπ•₯π•šπ•™π•’π•Ÿπ•š π•žπ•¨π•šπ•Ÿπ•˜π•šπ•Ÿπ•– 𝔸𝕝𝕝𝕒𝕙 π•’π•žπ•–π•₯𝕦𝕝𝕖π•₯𝕖𝕒 π•€π•šπ•€π•šπ•€ 𝕨𝕒𝕛𝕒 π•¨π•’π•œπ•–

β„•π••π•¦π•˜π•¦ π•«π•’π•Ÿπ•˜π•¦ 𝕨𝕒 π•šπ•žπ•’π•’π•Ÿ π•₯π•¦π•–π•Ÿπ••π•–π•π•–π•– π•œπ•¦π•₯𝕠𝕒 𝔻𝕒𝕣𝕀𝕒 π•žπ•“π•’π•π•š π•žπ•“π•’π•π•š 𝕛𝕦𝕦 π•ͺ𝕒 π•œπ•¦π•’π•”π•™π•’ π•žπ•’π•’π•€π•š π•Ÿπ•’ π•œπ•¦π•žπ•£π•¦π••π•šπ•’ 𝔸𝕝𝕝𝕒𝕙
 
Marekani kuzuri sana, hakuna Barabara za vumbi na maji hayakatiki, vitu muhimu kama chakula,umeme na maji ni bei rahisi sana karibu na bure, kazi nyingi sana kama unataka kazi huwezi kukosa, hakuna kuoneana kiboya kama polisi au wanasiasa wa bongo, Elimu bure mpaka high school, matibabu expensive lakini ni World class na yapo Kwa Kila mtu maana hata kama huna insurance utatibiwa tuu utatumiwa bill ila hawawezi kukuacha ufe, sehemu nyingi US ni kusafi kama peponi, standard ya Maisha ya mfanyakazi wa kiwandani US inamzidi waziri wa bongo ambaye sio mwizi, Kuna haki Kwa Kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…