Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tumeendelea kuweka taarifa kama tunavyozipokea, kama mlivyoona zoezi la kupiga kura limesimama kwa muda mpaka wakati huu naweka uzi huu hapa kutokana na karatasi za kupigia kura kupelea, ambako imebidi zikachapishwe nyingine ili zoezi liendelee.
Sasa wakati hili linafanyika ukurasa wa TLS X ukapost kuwa zoezi limekamilika, na kuwashukuru wote waliojitokeza kupiga kura.
Baada ya watu kuanza kukoment imekuaje wanapost hiyo wakati bado mawakili wanasubiri karatasi hizo, TLS wamefuta post yao hiyo chaaap.
Sasa wakuu, kama wahuni wanaweza penya mpaka huku na kutaka kuleta figisu tena kwa mawakili, huku kwa mimi na wewe si ndio wanatuona manyani tu wanaeza kufanya lolote watakalo?
Mwabukusi anaonekana kuwa tishio kwelikweli kiasi kwamba wako tayari kufanya lolote ili wachomeke kasuku wao wa kumgeuza kukokote wanakotaka.
Hii inaonesha uchaguzi wa 2025 mambo yatakuwa balaa. Tutaona mengi.
Gen Z mpo? Mnachukua notes? Mmejipangaje kwenye uchaguzi wa 2025 kuhakikisha viongozi wawajibikaji ndio wanapewa nafasi ya kutuwakilisha?