Kama mbinguni Kuna utakatifu na hakuna dhambi Ibilisi(Shetani) alidanganywa na nani Hadi akaasi?

mfano haufanani
kumbuka wakati unamleta mtu wa 5 ulikuwa unafahamu tabia zake na unafahamu yatakayo tokea

kwa nini umlete nyumbani
 
mfano haufanani
kumbuka wakati unamleta mtu wa 5 ulikuwa unafahamu tabia zake na unafahamu yatakayo tokea

kwa nini umlete nyumbani
Mfano unafanana na ndicho kilichotokea Shetani hana rafiki (Best friend)
 
Akili(utambuzi), nafsi, tamaa... Ni adui mkubwa wa imani.

Ndio maana mtume akawaambia jihadi kubwa kabisa ni baina ya mtu na nafsi yake.
Ndio mana mashehe wengi hawana elimu dini wao wana ilimu ili wakose akili(utambuzi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…