The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Usiogope bwashee!Mbona mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa Mara ya kwanza?
Dunia ni kijiji bwashee!Umekutana naye na kakuambia anamtaka Membe?
What's wrong with you to insuate things?
Hata Dr Slaa alikuwa hivyo hivyo bwashee!Tundu has payed an ultimate price for the party! Huwezi kumfananisha na hao kina Selasini na Komu. Mvua na jua.
Au aende CCM ili aachane kabisa na upinzani uchwaraTundu Lisu arudi zake Nccr mageuzi kwani mfupa uliowashinda Selasini na Komu yeye atauweza?!
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
You nailed it....johnthebaptist unatokwa na mate kwa harufu ya papa inayochomwa nyumba ya jirani.
Wewe uko migombani habari za mjini utachelewa kuzipata.....muulize mrangi pale Togo!Acha UZUSHI wewe!!! Huoni aibu ME kuwa na tabia ya uongo uongo!? π³π³π³π³
Wewe uko migombani habari za mjini utachelewa kuzipata.....muulize mrangi pale Togo!
nani kasema mgombea ni lisu wakati kina msigwa nae katangaxa nia
Hata migomba iko Tanzania nzima..... Usiogope bwashee!Umbeya mwingine kwa UFINYU wa akili yako kila anayeiunga mkono Chadema basi ni wa migombani!!! π³π³π³π³ Acha UZWAZWA Chadema imetambaa Tanzania nzima na haiko migombani tu.
Hata migomba iko Tanzania nzima..... Usiogope bwashee!
Mkoa gani Mbeya au Kagera?Kwa mwenye akili FUPI tu. Msemo wa nakwenda migombani unajulikana unatumika katika mkoa upi Tanzania. Acha UZWAZWA wa KUKURUPUKA na umbeya kila siku.