Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli Lissu kawashika pabaya makada wa kijani mwaka huu. Yaani habari za Mbowe kuonana na Membe badala ziletwe na Tumaini Makene na makada wa Chadema zinaletwa na makada wa CCM kina Johnthebabtist na Troll jf.Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Heka heka za pale Ufipa leo mnaweza kugawana mbao huko mbele!
Najua hakuna wa kumzuia Membe hapo Ufipa..... Mnaomtaka Lisu ni nyie dagaa ila wenye chama wana malengo tofautiKweli Lissu kawashika pabaya makada wa kijani mwaka huu. Yaani habari za Mbowe kuonana na Membe badala ziletwe na Tumaini Makene na makada wa Chadema zinaletwa na makada wa CCM kina Johnthebabtist na Troll jf.
Na bado, Lissu hajui kusema nimetafakari nimeona Magufuli kashinda naenda Mahakamani, Lissu anajua kusema tulinde kura, wananchi tuandamane kudai ushindi wetu. CCM mwaka huu mnalo. Hesabu zenu za kumweka Membe aharibu harakati za upinzani zimekwama Mázima.
Na jiandaeni Lissu anakuja sijui mtamweka ndani muongeze public sympathy juu yake au mtamwacha mpambane nae?
Yaaani CCM mlipofika ni kama wale viongozi wa dini walivyoulizwa na Yesu , mamlaka ya Yohana mbatizaji kubatiza yalitoka kwa Mungu au kwa binadamu???? Chochote mtakachofanya mwaka huu mnalo
Hahahaaaa... Bwashee niko mtambani hapa ya Ufipa yananifikia vizuri!Bwashee unachochea kuni tu,hahahahaa wewe jamaa bana mzandiki sana.
CCM mnalo mwaka huu, mbinu zenu zoote zinafeli wakati wa kuanza.Najua hakuna wa kumzuia Membe hapo Ufipa..... Mnaomtaka Lisu ni nyie dagaa ila wenye chama wana malengo tofauti
Mrudishieni TL ada yake ya fomu!
CCM tulieni dozi iwaingie mkojo utawatoka mwaka huu.Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Na nyie mrudishieni Tundu Lisu hela yake ya fomu!Mbona nyie mliamua mwaka huu kutoa form moja tu? Kila Chama na maamuz yake
Lisu ndio chaguo la makamanda!CCM mnalo mwaka huu, mbinu zenu zoote zinafeli wakati wa kuanza.
Subirini mwamba Lissu aingie.
Achana na huyo Nabii Tito, ukiona hivyo ujue yuko kwenye heatUmbeya mwingine kwa UFINYU wa akili yako kila anayeiunga mkono Chadema basi ni wa migombani!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Acha UZWAZWA Chadema imetambaa Tanzania nzima na haiko migombani tu.
Hahahaaaa... Bwashee niko mtambani hapa ya Ufipa yananifikia vizuri!
Nani aliombwa agombee?Huko zanzibar wamechukua fomu more than 30 mbona hamkuwaitia takukuru
Mkoa gani Mbeya au Kagera?
Hahahaaaa........ Membe hoyeeee!Haikuhusu kitu mind your own BUSINESS.
Bwashee tutakutafuta hata insta.Tundu -Lissu asipogombea urais naomba nipigwe ban @Maxeme Melo na Moderator.
Nilipowaona Selasini na Komu wanakimbia nikakumbuka maneno ya Yesu alipoulinganisha mti mbichi na mti mkavu!Pole sana Tundu Antipas Lisu Mughwai.
Wakili msomi umepigwa tobo na washirika wako
Hahahaaaa........ Membe hoyeeee!