Uchaguzi 2020 Kama Mbowe anataka Membe ndio agombee urais ina maana hamuamini kabisa Tundu Lisu!

Acha kuweweseka kigo...li hapo lb7fc tangu lini ukaitakia mema chadema!?
 
Lissu hakubaliki kwa wenye chadema yenyewe...
 
Na kikubwa ndie ataonyesha wale wasioamini.. kwamba ndiye aliye mutenda ili asifikie ndoto yake.. nzima kugombea tu bila kushinda..
 
Sina wasiwasi bwashee..... Ila Tundu Lisu mtamuonea hadi lini wapendwa?!
Unataka kuniambia Lisu atakuja msimkamate kwa kesi ya kuruka dhamana kesi ya uchochezi mkamfunga miezi 6 chachapu !!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…