Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
na bado mtachoma hadi suruali mtembee watupu 🐒Ni sifa njema kuchoma vitenge na picha zote za muuaji huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na bado mtachoma hadi suruali mtembee watupu 🐒Ni sifa njema kuchoma vitenge na picha zote za muuaji huyo
dah,Utasubiri sana, mwenzako anaanza kufyatua tofali 10 wewe unabeza unasema hiyo hela ya tofali 10 bora niinywee pombe hadi nitakapopata hela ya tofali mia.
Tutaanza kuwachoma mafisadi piana bado mtachoma hadi suruali mtembee watupu 🐒
Kama una hamu ya kupiga kura ya hapana, subiria kuioiga siku CCM watakapoprint fomu 1 kwaajili ya Rais Samia.Lisu apigiwe kura ya hapana ikiwa mbowe atatangaza kustaafu,
na kwa hivyo Lisu akibaki pekeyake ulingoni, inafaa akataliwe kwa kura ya hapana, maana haukuna namna nyingine sasa ya kidemokrasia![]()
muanzie kuchoma mafisadi papa hapo HQ ufipa, kabla ya kuelekea mafisadi nyangumi ya hapo ofisi kuu ya chadema mikocheni 🐒Tutaanza kuwachoma mafisadi pia
sio suala la hamu gentleman, ndio Demokrasia ilivyo,Kama una hamu ya kupiga kura ya hapana, subiria kuioiga siku CCM watakapoprint fomu 1 kwaajili ya Rais Samia.
CHADEMA kumejaa watu wenye akili na wasomi, hawahitaji ushauri kutoka kwa machawa ya CCM.
Na wewe unajiita ni mtaalam, basi labda maana ya mtaalam ibafilike na kuwa ni "mtu mnafiki punguani, chawa asiyejua thamani ya utu waje". Hakuna chawa punguani ambaye ni mtaalam mchambuzi. Sifa kubwa ya chawa ni kutokuwa na uwezo wa kutumia akili yake, na kubakia na kazi kubwa ya kumsifia anayemfanyia uchawa, bila ya kujali huyo mtu anatenda vema au anafanya ushetani.mimi ni mchambuzi mwandamizi,
na mtaalamu wa masuala ya demokrasia na siasa za vyama vya siasa![]()
Ole wenu ccm mje na mbwembwe za mara form moja , ccm mnachacho kifanya kuwa ni wakereketwa wakuu wa mambo ya chadema , mda mwalim tunawasubili ubaya ubwelanaona laana ya BAWACHA ya kuchoma vitenge imeanza kuwatembelea hadi vibwengo dah![]()
Hizi ni akili za Ki-CCM. Kama Lissu kashinda kwa kura halali, huoni wazo lako lilivyo la kijinga?Sasa mtu kama huyo unamwamini vipi kumkabishi taasisi nyeti kama CDM.
Ohoo! Yaani kushinda kura kutegemee baraka za mtu mmoja! FUSO, kulinda heshima yako, futa hii kauli!Kwa hiyo Lissu kama hatapata baraka zote za Mh. Mbowe katika hili jambo lake alilotangaza basi ausahau uwenyekiti kabisa sababu hatapata kura hata 15.
Kura za ndiyo na hapana zimekuwa zikioigwa miaka yote ndani ya CHADEMA, hawahitaji kuelekezwa na chawa wa CCM ambao mgombea akiwa mmoja wanamtangaza kuwa amepita bila kuoingwa, na ndiyo maana wamekuwa wakihangaika kufanya ushetani wa kuwaengua wapinzani ili wajitangaze wamepita bila kuoingwa.sio suala la hamu gentleman, ndio Demokrasia ilivyo,
hivi kwenye uchaguzi wa kanda kuna jamaa wamepata kura 0, je hawakua wagombea ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kanda hiyo au kuna namna?🐒
Chadema ni muhimu sana wakafanya uamuzi kwa umakini mkubwa sana, kibaraka apewe hata kura 20 za kufutia machozi 🐒Ole wenu ccm mje na mbwembwe za mara form moja , ccm mnachacho kifanya kuwa ni wakereketwa wakuu wa mambo ya chadema , mda mwalim tunawasubili ubaya ubwela
Siku azigandi kipindi chenu kitafika tu, pia tutachagua size ya spana ya kutumia, ubaya ubwelaChadema ni muhimu sana wakafanya uamuzi kwa umakini mkubwa sana, kibaraka apewe hata kura 20 za kufutia machozi 🐒
Bado hujasemamuanzie kuchoma mafisadi papa hapo HQ ufipa, kabla ya kuelekea mafisadi nyangumi ya hapo ofisi kuu ya chadema mikocheni 🐒
Hamjaelewa kinachoendelea. Hawa watu hawamtaki Mbowe ila wanajua wakimshabikia mtamtilia shaka na kumchagua Lissu.Huwa najiuliza sana hili swali ; hivi wanaccm wana masilahi gani na uenyekiti wa Mbowe? Kama Mbowe na yeye ameshajiuliza hili swali haya madudu yanayoendelea kufumuliwa yasingetokea. Kuna damage kubwa sana imeshafanyika beyond control.
Mzee Mbowe asigombee abaki na heshima yake. Kwa vyovyote vile akigombea na akashinda,bado ataonekana mwenye uroho wa madaraka.Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.
Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na kumuunga mkono Magufuli.
Kwa ustawi wa chama, baada ya Mbowe kutangaza kung'atuka (kitu ambacho ni obvious), wajumbe wote waliokuwa upande wa M/Kiti Mbowe kuanzia Wenyeviti wa Mikoa, Wilaya vivyo hivyo kwa wanachama mnatakiwa kuvunja kambi zenu na kumuunga mkono Lissu kwa maslahi mapana ya chama, vinginevyo mtagawana mbao.
***Asubuhi njema na tafakuri njema wakati dunia ikisubiri kwa hamu tamko la Mwenyekiti.
Siyo kweli lkn acha iwe hivyo.Hamjaelewa kinachoendelea. Hawa watu hawamtaki Mbowe ila wanajua wakimshabikia mtamtilia shaka na kumchagua Lissu.
Amandla...
Unaamini kweli wanamtaka Mbowe? Kuwa wanaamini kuwa mtampigia kura mtu ambae wanampigia debe?Siyo kweli lkn acha iwe hivyo.
Ndio maana nikasema hata kama wanafanya ujanja wa kujifanya wanataka sitaki, twende nao hivyo hivyo.Unaamini kweli wanamtaka Mbowe? Kuwa wanaamini kuwa mtampigia kura mtu ambae wanampigia debe?
Amandla...