Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Huo ni uongoMiaka 21 inamtosha
Mbowe kaanza siasa 1977 wakati Dr Mwigullu PhD ndio anazaliwa 🐼
Ukiambiwa toa ushahidi unatoa ushuzi, ubinadamu ni mgumu sana.Mkataba aliingia Mbowe na fedha za uchaguzi alipewa tsh million 250
Unaongea kishamba shamba sana 🐼Una kishudu ama ni flat screen?
Hela imetoka CCM itakosaje ushahidiUkiambiwa toa ushahidi unatoa ushuzi, ubinadamu ni mgumu sana.
Sawa, kwa hiyo ilikuwa cash ama bank. Kama cash ulimpa nani na kama bank uliingiza acc ipi?Hela imetoka CCM itakosaje ushahidi
Usiwage bwege Wewe 🐼
Mbowe aliwalipia nauli na posho ya siku mbili poshoNimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak 😂
Nimekaa pale 🐼
Subiri Ripoti ya ACCA CPA Abohokile Mwaitenda wa hapo hapo Chadema 😄Sawa, kwa hiyo ilikuwa cash ama bank. Kama cash ulimpa nani na kama bank uliingiza acc ipi?
Ufafanuzi tafadhali ili uwasaidie takukuru pa kuanzia.
Mbowe ndiye aliwafungia Hotelini na Wenje akawa anawatembelea mara kwa mara kabla ya Uchaguzi 🐼Mbowe aliwalipia nauli na posho ya siku mbili posho
Mkutano mkuu mkuu ukaisha vizuri na Wakamchagua Lisu
Nje ya hizo posho za siku mbili wamdai Lisu
Hayo ya kwenye Hotel walipe wenyewe, Mbowe ameshalipia ukumbi, mapambo, mabango, t-shirt na chakula cha ukumbiniNimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak 😂
Nimekaa pale 🐼
Chama ndio kikichoandaa mkutano mkuu sio mtu binafsiAhusike baada ya uchaguzi?Walioandaa wameshindwaje kulipa?Au wamenuna baada ya kupiga pua chini?
Never seen stupidy granny like u beforePesa inatoka ubelgiji
Muda sio mrefu mizigo itaachiliwq
Pole MANKA, bwana wako Mbowe kaacha kakifilisi chama.Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Mpiga domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
Nani huyo Boni yai?Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Mpiga domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
So unajiona mjanja kwa kua unachambia mafuta ya nazi? Nina mbwa mwerevu kukuzidi kwa hiyo hunipi taabu. Wajinga wa aina yako ndio mbasababisha itikadi kuwa chuki!Unaongea kishamba shamba sana 🐼
Mbowe aliyekuwa anawatoeni migombani kuwaleta Mjini ndio huyo kachemshwa na Sony Chiba!
Chadema mna itikadi gani ya kuongozwa na mbelgiji?So unajiona mjanja kwa kua unachambia mafuta ya nazi? Nina mbwa mwerevu kukuzidi kwa hiyo hunipi taabu. Wajinga wa aina yako ndio mbasababisha itikadi kuwa chuki!
Madeni gn wakati wajumbe wote walipewa poshoKwahiyo Mbowe kakiachia Chama madeni?
Kule Hotelini walikofungiwa Mbowe alisema kawalipiaMadeni gn wakati wajumbe wote walipewa posho
Ccm mpo wengi wa aina yako wenye akili ndogo na muda mwingi mnatumia vidole kuwaza! Ulivyo na gubu hata mwenyekiti wa chama kilichokufubaisha ubongo angeongoza CHADEMA usingekosa neno la kusema..kichwa maji! Kufananisha migomba na ushamba ni uzuzu wa kiwango cha PhD,kwamba ukila ndizi unaumwa kideri? Siku moja moja uwe unatumia ubongo kufikiri!Chadema mna itikadi gani ya kuongozwa na mbelgiji?
Nimesema kwa sababu bado uko migombani Tatizo siyo lako🐼