Kama Mbowe na Marafiki zake wamegharamia Mkutano mkuu wa Chadema mbona mizigo ya Wajumbe imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yalipwe?

Kama Mbowe na Marafiki zake wamegharamia Mkutano mkuu wa Chadema mbona mizigo ya Wajumbe imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yalipwe?

Hela imetoka CCM itakosaje ushahidi

Usiwage bwege Wewe 🐼
Sawa, kwa hiyo ilikuwa cash ama bank. Kama cash ulimpa nani na kama bank uliingiza acc ipi?
Ufafanuzi tafadhali ili uwasaidie takukuru pa kuanzia.
 
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak 😂

Nimekaa pale 🐼
Mbowe aliwalipia nauli na posho ya siku mbili posho

Mkutano mkuu mkuu ukaisha vizuri na Wakamchagua Lisu

Nje ya hizo posho za siku mbili wamdai Lisu
 
Sawa, kwa hiyo ilikuwa cash ama bank. Kama cash ulimpa nani na kama bank uliingiza acc ipi?
Ufafanuzi tafadhali ili uwasaidie takukuru pa kuanzia.
Subiri Ripoti ya ACCA CPA Abohokile Mwaitenda wa hapo hapo Chadema 😄
 
Mbowe aliwalipia nauli na posho ya siku mbili posho

Mkutano mkuu mkuu ukaisha vizuri na Wakamchagua Lisu

Nje ya hizo posho za siku mbili wamdai Lisu
Mbowe ndiye aliwafungia Hotelini na Wenje akawa anawatembelea mara kwa mara kabla ya Uchaguzi 🐼
 
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak 😂

Nimekaa pale 🐼
Hayo ya kwenye Hotel walipe wenyewe, Mbowe ameshalipia ukumbi, mapambo, mabango, t-shirt na chakula cha ukumbini
 
Ahusike baada ya uchaguzi?Walioandaa wameshindwaje kulipa?Au wamenuna baada ya kupiga pua chini?
Chama ndio kikichoandaa mkutano mkuu sio mtu binafsi

Mbowe hata kama alichangia pesa yake aliichangia chama akiwa mwenyekiti yeye na team yake

Sasa kama pesa hazijatosha ni wajibu wa chama chini ya Mwenyekiti mpya Tundu Lisu kutoa hizo hela

Hao waliomkataa Mbowe ni wazalendo sana na mzaliwa yeyote hujitoa kwa ajili ya chama walipe hizo bill na kama nauli za kurudi makwao hawana sio kesi kwa uzalendo wao wa kumtaka mzalendo Mwenzao Lisu watembee kwa miguu kurudi makwao

Huo ndio uzalendo chama kikiwa hakina hela
 
Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Mpiga domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
Nani huyo Boni yai?

Kama ni kweli huo ulikuwa utaratibu mbaya sana. Wajumbe wote ilibidi walipiwe in advance na chama.
 
Unaongea kishamba shamba sana 🐼

Mbowe aliyekuwa anawatoeni migombani kuwaleta Mjini ndio huyo kachemshwa na Sony Chiba!
So unajiona mjanja kwa kua unachambia mafuta ya nazi? Nina mbwa mwerevu kukuzidi kwa hiyo hunipi taabu. Wajinga wa aina yako ndio mbasababisha itikadi kuwa chuki!
 
So unajiona mjanja kwa kua unachambia mafuta ya nazi? Nina mbwa mwerevu kukuzidi kwa hiyo hunipi taabu. Wajinga wa aina yako ndio mbasababisha itikadi kuwa chuki!
Chadema mna itikadi gani ya kuongozwa na mbelgiji?

Nimesema kwa sababu bado uko migombani Tatizo siyo lako🐼
 
Chadema mna itikadi gani ya kuongozwa na mbelgiji?

Nimesema kwa sababu bado uko migombani Tatizo siyo lako🐼
Ccm mpo wengi wa aina yako wenye akili ndogo na muda mwingi mnatumia vidole kuwaza! Ulivyo na gubu hata mwenyekiti wa chama kilichokufubaisha ubongo angeongoza CHADEMA usingekosa neno la kusema..kichwa maji! Kufananisha migomba na ushamba ni uzuzu wa kiwango cha PhD,kwamba ukila ndizi unaumwa kideri? Siku moja moja uwe unatumia ubongo kufikiri!
 
Back
Top Bottom