Kama Mbunge ulipita bila kupingwa au uliiba kura lazima utambue wewe ni "Mtumwa" wa DED hadi 2025

Kama Mbunge ulipita bila kupingwa au uliiba kura lazima utambue wewe ni "Mtumwa" wa DED hadi 2025

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huo ndio ukweli mchungu.

Kwa mfano wale Wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dkt. Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.

Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.

Ma-DED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Ramadhan Kareem
 
Kwani kuna mbunge wenu mataga alipita kwa haki?
Wizi mtupu, jambazi kuu likiwa limetangulia kuzimu.
Mheshimiwa Lema, namnukuu, "Bwana Meko nimeonyeshwa kwenye ndoto na Mwenyezi Mungu kuwa usipojirekebisha ukatubu utakufa, narudia, nimeoneshwa kwenye ndoto na Mwenyezi Mungu kuwa usipojirekebisha ukatubu hakika utakufa!"

Sasa wezi waliobaki pale bungeni wasipojirekebisha nao watakufa kibudu pia
 
Okey kuna ile elf 10 uliahidiwa kulipwa kama posho ya kuziba papaa la ofisi za chama naona haijatoka mpaka leo na ahadi ilikuwa itoke kabla ya tarehe 20/4/2021 jana umeuliza ukaambiwa mhasibu amesafiri, naona leo umeamka nao hata kazini hujaingia.
Peleka vidumu vya mbege kilabuni akina Macha wanakusubiri!
 
Kumbe MATAGA hatimaye mmekubali kuwa mliiba kura!

Ila kweli nchi ilipitia pagumu sana!
IMG_20201028_173703.jpg
 
Kwani kuna mbunge wenu mataga alipita kwa haki?
Wizi mtupu, jambazi kuu likiwa limetangulia kuzimu.
Mheshimiwa Lema, namnukuu, "Bwana Meko nimeonyeshwa kwenye ndoto na Mwenyezi Mungu kuwa usipojirekebisha ukatubu utakufa, narudia, nimeoneshwa kwenye ndoto na Mwenyezi Mungu kuwa usipojirekebisha ukatubu hakika utakufa!"

Sasa wezi waliobaki pale bungeni wasipojirekebisha nao watakufa kibudu pia
Ni kweli kabisa sisi watakatifu wote tuko hai na wadhambi hufa ....
Tuendelee kuishi kitakatifu ili tusife, hata Yesu na watoto wachanga wamekufa NADHANI sababu hawakutubu.
 
Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo.

Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako.

Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
 
Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo . Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako. Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
Sasa kwanini wanalialia bungeni?!
 
mkuu hiki chama ni kikundi cha wahuni fulani tu kama walivyo wahuni wengine mbowe anajuwa kila kitu kuhusu hawa kina mama 19 ndiyo maana humsikii akilivalia njuga hili suala anakula taratiiibu vuruzuku vyake shida iko kwa huyu aliyekuja na kandambili kwenye chama kakma alivyosema halima na hajawahi kukanusha, huyu hakushirikishwa na mbowe ndiyo maana kila siku yuko kuwahadaa wanachama wenzie sasa mbona hawawaiti kuwahoji kwenye kamati kuu kama walivyosema? wanaona wanaenda kuumbuka live halima anaakili timamu siyo kichaa yule kama kina pambalu
 
Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo . Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako. Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
We ndo hujui kitu kabisaaaa au umecomment kwa mahaba ya chama..... Ila tuliosimamia uchaguzi tunajua kilichofanyika na maDED walihakikisha kwa namna yoyote wabunge wa mboga mboga wanashinda.
 
Huo ndio ukweli mchungu.

Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.

Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.

MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Ramadhan Kareem
Unaugomvi na Pm tu Mimi sipo
 
He hee Naona Mungu kaamua kukufunulia uongofu mkuu siku hizi huwa unamacho ya kuona kweli na batili...au buku7 zimekata!!! Tuletee Elitwege haonekani kabsa huyu taga au alizikwa na hayati pamoja.
CCM mpunga haujawahi kukata bwashee!
 
Zaidi ya 50% hawakushinda na walibebwa kwa kutangazwa washindi kwa amri ya 'yule mtu'.
Dhambi kubwa sana sana na uovu wa hali ya juu na ndio maana hasira ya Mola iliwaka.
 
Back
Top Bottom