Kama Mbunge ulipita bila kupingwa au uliiba kura lazima utambue wewe ni "Mtumwa" wa DED hadi 2025

Kama Mbunge ulipita bila kupingwa au uliiba kura lazima utambue wewe ni "Mtumwa" wa DED hadi 2025

Huo ndio ukweli mchungu.

Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.

Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.

MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Ramadhan Kareem
Kwa aliyo yafanya Magufuli alale mahali anapo stahili na kama ikiwezekana awe anapigwa viboko 10 asubuhi na 10 jioni kwa kipindi cha miaka 7.
 
Sina shaka sababu 2025 hata Nyambi Sr Ng'wale mtaipigia kura CCM kuanzia serikali ya mtaa hadi Rais

Au nasema uongo ndugu zangu???

Huu wimbo una maneno yenye ujumbe mzito sana msiishie kupata flavor peke yake

Alale mahala pema mtunzi

Ni bora kutokupiga kura tu kuliko kujitafutia dhambi
 
Tukutane hapa 2025 tukijaaliwa uzima😂😂😂
Labda km mlivyozoea vya kunyonga aka bila kupingwa lasivyo huku kwetu ht mjumbe wa nyumba kumi msingempata majizi ya kodi zetu nyie
 
Okey kuna ile elf 10 uliahidiwa kulipwa kama posho ya kuziba papaa la ofisi za chama naona haijatoka mpaka leo na ahadi ilikuwa itoke kabla ya tarehe 20/4/2021 jana umeuliza ukaambiwa mhasibu amesafiri, naona leo umeamka nao hata kazini hujaingia.
Bwashee hii post yako inaonyesha umegeuza gia angani!
 
Labda km mlivyozoea vya kunyonga aka bila kupingwa lasivyo huku kwetu ht mjumbe wa nyumba kumi msingempata majizi ya kodi zetu nyie

Ikifika 2024 kadi yako ya chadema utaichoma moto mwenyewe
Na hii ID yako utaitelekeza na kuja kivingine
 
Sisi
Ikifika 2024 kadi yako ya chadema utaichoma moto mwenyewe
Na hii ID yako utaitelekeza na kuja kivingine
Sisiemu ni ileile tu iliyomnyonya baba Hadi anafia nyumba ya nyasi inajibadili rangi tu
 
Hahahaaaa...... Wewe Bawacha bure kabisa!
Ona sasa akili yako ilikokupeleka. Nilishaanza kuishuku akili yako mapema sana! Hivi tatizo lenu ni nini? Hivi kweli hamuwezi kabisa kuchanganua mambo? Nashindwa kabisa kuelewa tatizo la kiakili linalowakabili watu kama ninyi.
 
Huo ndio ukweli mchungu.

Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.

Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.

MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Ramadhan Kareem
Kwa hiyo kumbe CCM ililawiti uchaguzi!?
 
Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo.

Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako.

Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
Kabla ya kujiunga JF umeoga kichwani?
 
Back
Top Bottom