Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Si lazima haki ipatikane mahakamani ndio maana mtuhumiwa namba moja yupo ahera anavuna alichopanda duniani.Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo.
Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako.
Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.