johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Peleka vidumu vya mbege kilabuni akina Macha wanakusubiri!Okey kuna ile elf 10 uliahidiwa kulipwa kama posho ya kuziba papaa la ofisi za chama naona haijatoka mpaka leo na ahadi ilikuwa itoke kabla ya tarehe 20/4/2021 jana umeuliza ukaambiwa mhasibu amesafiri, naona leo umeamka nao hata kazini hujaingia.
Ni kweli kabisa sisi watakatifu wote tuko hai na wadhambi hufa ....Kwani kuna mbunge wenu mataga alipita kwa haki?
Wizi mtupu, jambazi kuu likiwa limetangulia kuzimu.
Mheshimiwa Lema, namnukuu, "Bwana Meko nimeonyeshwa kwenye ndoto na Mwenyezi Mungu kuwa usipojirekebisha ukatubu utakufa, narudia, nimeoneshwa kwenye ndoto na Mwenyezi Mungu kuwa usipojirekebisha ukatubu hakika utakufa!"
Sasa wezi waliobaki pale bungeni wasipojirekebisha nao watakufa kibudu pia
Waliiba hao, na mawakala wa vyama vyetu wakawahonga ili washindeKumbe MATAGA hatimaye mmekubali kuwa mliiba kura!
Ila kweli nchi ilipitia pagumu sana!
View attachment 1758953
Sasa kwanini wanalialia bungeni?!Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo . Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako. Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
mkuu hiki chama ni kikundi cha wahuni fulani tu kama walivyo wahuni wengine mbowe anajuwa kila kitu kuhusu hawa kina mama 19 ndiyo maana humsikii akilivalia njuga hili suala anakula taratiiibu vuruzuku vyake shida iko kwa huyu aliyekuja na kandambili kwenye chama kakma alivyosema halima na hajawahi kukanusha, huyu hakushirikishwa na mbowe ndiyo maana kila siku yuko kuwahadaa wanachama wenzie sasa mbona hawawaiti kuwahoji kwenye kamati kuu kama walivyosema? wanaona wanaenda kuumbuka live halima anaakili timamu siyo kichaa yule kama kina pambaluTume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo . Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako. Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
We ndo hujui kitu kabisaaaa au umecomment kwa mahaba ya chama..... Ila tuliosimamia uchaguzi tunajua kilichofanyika na maDED walihakikisha kwa namna yoyote wabunge wa mboga mboga wanashinda.Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo . Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako. Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
Unaugomvi na Pm tu Mimi sipoHuo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.
MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Ramadhan Kareem
Wewe ni miongoni mwa wateule wa Ufipa?!!Unaugomvi na Pm tu Mimi sipo
He hee Naona Mungu kaamua kukufunulia uongofu mkuu siku hizi huwa unamacho ya kuona kweli na batili...au buku7 zimekata!!! Tuletee Elitwege haonekani kabsa huyu taga au alizikwa na hayati pamoja.Sasa kwanini wanalialia bungeni?!
Sasa kwani hakupita bila kupingwa !!!?? Muulize mleta uziWewe ni miongoni mwa wateule wa Ufipa?!!
CCM mpunga haujawahi kukata bwashee!He hee Naona Mungu kaamua kukufunulia uongofu mkuu siku hizi huwa unamacho ya kuona kweli na batili...au buku7 zimekata!!! Tuletee Elitwege haonekani kabsa huyu taga au alizikwa na hayati pamoja.
Ila kuwa mkweli tu baada ya kuondoka hayati uzalendo umekutoka ..sababu ni Nini hasa?CCM mpunga haujawahi kukata bwashee!
Huyu hakumpenda hayati mana amegeuka mapema.. Bado mama D ..Hawakupi posho siku hizi??