Kama Mbunge ulipita bila kupingwa au uliiba kura lazima utambue wewe ni "Mtumwa" wa DED hadi 2025

Si lazima haki ipatikane mahakamani ndio maana mtuhumiwa namba moja yupo ahera anavuna alichopanda duniani.
 
Waliiba hao, na mawakala wa vyama vyetu wakawahonga ili washinde
Vyote hivyo ni haramu,kuiba kura na kuhonga/kuhongwa.Jiulize uhalali wa viongozi waliopatikana kwa jinsi hiyo?Ndiyo wale wanaomba kuwe na vyuo vya wizi.
Chama/Viongozi waliopatikana kwa wizi wa kura,kuvuruga taratibu za Sheria za Uchaguzi/kupiga bila kupingwa,waliohonga wapiga kura,wasimamizi wa kura nk wanakuwaje halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…