Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe.

Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
 
Na TFF Wameingia kwenye mfumo😆...
Masikini mashabiki walioenda na tuliolipia ving'amuzi...
Mi ndo mana nafocus na mechi za kina Dodoma jiji/ mbungi za akina Namungo na Blackstars safii! Huu ukubwa wanaotunishiana Simba/Yanga ni ujinga wa hali ya juu! BODI YA LIGI INAJIKUTA INAZIABUDU HIZI TIMU ZA KARIAKOO MNO
 
Back
Top Bottom