kachwankizi
Member
- Sep 9, 2024
- 95
- 151
Kwa aliye angalia pambano la Mfaume dhidi ya mmalawi atakuwa alipigwa na butwaa kwa kile kilichoamuliwa na majaji.
Kwa kuwa tunapenda uzalendo kuliko uhalisia basi tusahau maendeleo ya mchezo wa maswimbi Tanzania .Ni aibu.
Mfaume alipigwa mpaka ukumbi ulikuwa kimya wakati wote wa mchezo. Ghafla majaji wakampa ushindi Kisa mcheza kwao hutuzwa! Uzuri wa masumbwi ni kama mchezo wa mpira wa miguu, goli likiingia linaonekana.Majaji mlimuonea mmalawi.