MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
Nitakapo kuwa sina umuhimu wa kutoka,nitajifungiaUtajifungia ndani kwa mda gani mkuu?
Week,mwezi,miezi 3..?
Hii kitu sio ya kuisha leo,uko ndani utatoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yako angezikwa kinyama namna ile ungejisikiaje
Hata huku kwetu maisha yanasonga tu,hakuna hata mgonjwa mmoja,zaidi ya kusoma kwenye mitandao na tvMkuu mtaani maisha ni Yale yale mtaani kwangu sijashudia mgonjwa wa corona
Ila nikiingia Twitter na jamii forum Ndio Chadema wanaeneza sana uwongo kuhusu corona
Makaburi yanaenda kujaa muda si mrefu kuna sehemu maiti 50 zinazikwa deilee halafu ninyi mnaleta siasa
Habari wakuu
Hali ya maambukizi ya corona hapa nchini kwa sasa haifahamiki zaidi ya sintofahamu tu huku watu wakiendelea kufanya shughuli zao kama kawaida
Watanzania tuko njia panda sasa tusielewe hali ya nchi hii kwa vita ya covid19 mpaka kujiuliza maswali kama hali ya mipaka ya nchi iko hivi, Tanzania yenyewe hali hali ikoje? I mean huko Dar es salaam, Dodoma, Mwanza, Arusha na kwingineko kwingi maambukizi yakoje
Kwa sasa tunashuhudia mipaka ikifungwa na nchi zote jirani kututenga Rwanda, Uganda, Kenya, Zambia zote zimetutenga kwa sababu watanzania tunasambaza corona katika nchi hizo
Tuendelee kujiuliza yaani dereva wa lori ambaye anafika bandari tu kupakia mzigo huku akiwa ajajichanganya sana huko mitaani anapata corona je wale kutwa wanapambana na usafiri wa daladala, mishe za kariakoo, dereva bodaboda watakuwa na hali gani?
Tanzania tuna hali gani ikiwa wasafiri wa malori tu wasio na mizunguko na mchanganyiko mkubwa wa watu wanaathirika vibaya dhidi ya corona?
Nisingefurahi! Ila napinga huu ujinga wa hawa jamaa wanaofanya ionekane kwamba hali ni mbaya sana mkuuNdugu yako angezikwa kinyama namna ile ungejisikiaje
Nachokiwaza au kufikiria huu ugonjwa naona tutaishi nao tu kama maralia, ukimwi na magonjwa mengine tu maana sioni dalili ya kuondoka tutakunywa dawa za Madagascar kuvipooza vijidudu tu alafu tutachapa kazi kama kawaida tu.
Mpaka sasa sijakutana na hayo mazingira unayoyasemea hapomuanzisha thread, usiende mbali sana
huwa nauliza hivi mtaani kwako wewe, au kitaani kwako wewe wangapi wamekufa na corona? umeshuhudia au kusikia unapoishi hapo? kazini
kujua extent ya tatizo anza na kuona wewe
ushakutana na maiti ngapi barabarani zimelala kwa sababu ya corona?
usipelekeshwe na mitandani na news, have time to think
Siku baba yako au mama yako akifa ndio utajua kuna corona na hapo ndipo utaacha huu upumbvu na ujinga. Unajua kuna wapumbavu kama wewe wataamini kauli zako za kijinga na waje kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi siuliona Huwan, Denmark, France shule zinafunguliwa, Italy jana watu wapo nje wameanza kutoka bila vibali league ndio kama hivyo zitaanza kuchezwa Epl, Laliga na Bundesliga.HII NI KWA DUNIA NZIMA, sio Tanzania tu kaka
Mpaka sasa sijakutana na hayo mazingira unayoyasemea hapo
lakini kwa hivyo unataka kutuaminisha kuwa nchi jirani zinaihujumu tanzania na huenda madereva wetu wanazushiwa?
tayari anaumwa huyo,tena imeshika kichwani.wewe tayari umeshapata corona yako??
kwani ulikuwa unadhani haitafika siku makaburi yajae mjomba???Makaburi yanaenda kujaa muda si mrefu kuna sehemu maiti 50 zinazikwa deilee halafu ninyi mnaleta siasa
Wewe ngoja makaburi ya halaiki yaanze ndio uongee lugha yente kuelewekakwani ulikuwa unadhani haitafika siku makaburi yajae mjomba???
au yakijaa ndio corona??
Juzi siuliona Huwan, Denmark, France shule zinafunguliwa, Italy jana watu wapo nje wameanza kutoka bila vibali league ndio kama hivyo zitaanza kuchezwa Epl, Laliga na Bundesliga.
Trump mwenye analalama tu wako ndani lakini bado wanakufa tu muda sio mrefu atawaachi watu uraiani tutaendelea kuna mikono na kuvaa groves huku tukifanya shughuli zetu tena ndio mm nachokiona maana chanjo hapa mpaka miaka iende ndio tupate.