Kama mipakani COVID19 iko hivi, Tanzania yenyewe hali iko vipi?

Karibu mtaani halafu baadae uje kupost ulichokiona,huku maisha bado yanaendlea kama kawaida ingawa taarifa za maambukizi hatuzipati lakini maisha ya kawaida yanaendelea mjini kazi kama akawaida ingawa wale watu wa utalii imekula kwetu.

wakikusikia walimu wa shule private au wenye kumbi za starehe na bar, hakika wanaweza kukula nyama.
 
Mkuu mtaani maisha ni Yale yale mtaani kwangu sijashudia mgonjwa wa corona

Ila nikiingia Twitter na jamii forum Ndio Chadema wanaeneza sana uwongo kuhusu corona
Binafsi mtaani kwangu kuko shwari ila kwenye mitandao kama ivi ndo nakutana na hali ya taariki ...... Lkn sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipi ambacho hujaelewa, wamefanikiwa ndio maan kasi ya mambukiz imepungua.
sasa wewe tupe data za TZ mko stage ipi?
The coming two weeks or three hakutakuwa na maambukizi mapya ndo stage tuliyopo, other datas zisikumbue coz is still processed bado hazijawa information, good news ...we have won this battle in our own way sio lazima tucopy and pest Kama wazungu... Good thing NIMR na dawa ya NIMRCAF ambayo ni immune booster in a form of food suppliment liquid inafanya vyema kwa wagonjwa waliotumia. Bado ya Covdol bado ya Madagascar

We na familia yako boost immune zenu kwa kula vyakula vyenye kuimarisha kinga mwili. Ondoa hofu kichwani, fanyakazi zako ongea na waliokata tamaa kwankuwapa moyo... Kama navyo fanya kwako I can sense unavyoogopa na huna njia zaidi ya uoga. Uondoe uoga utaona tulivyopiga hatua ambazo other countries are struggling to attain.
 
wakikusikia walimu wa shule private au wenye kumbi za starehe na bar, hakika wanaweza kukula nyama.
Nimejiongele tu kwa upande mmoja,ila kwa upande mwingine ni Mungu tu anajua,na hata wanasiasa hawaongelei hii ishu,hawaongelei ajira zinazopotea,hawaongelei watu waliopo majumbani sasa hivi bila ya kulipwa mishahara,hawaongei hivi vitu kabisa,hawafanyi mijadala,huu ni utopolo mkubwa kwa wale tunaowaona eti ni watetezi,shit zao.
 
Mpaka viongozi wanajichimbia nyie bado hamjaelewa tu ?
 
IQ32
 
Mkuu mtaani maisha ni Yale yale mtaani kwangu sijashudia mgonjwa wa corona

Ila nikiingia Twitter na jamii forum Ndio Chadema wanaeneza sana uwongo kuhusu corona
Huwezi kushuhudia mtaani kwenu , sababu bado unafungwa nepi..
 
Kuna watu wanapata Corona lakini haiwauwi au kuwapa matatizo makubwa
Hivyo kuna uwezekano hawa madereva wakawa wamepata ugonjwa na kuusambaza kwa wengine
Lakini hili la madereva kupata Corona kwa wingi hivi inaleta mashaka na kujiuliza huko walikotoka kuna wangapi wagonjwa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mkuu unauhakika gani idadi ya waonaugua sio kubwa? Hivi kunaupimaji Tz? Acha kuumauma maneno, people are dying. Au mnataka malaika aje apashe habar???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…