Naam walifanya vizur hawatak madhalimu huko wanalinda maadilihawa wazanzibar ni wapuuzi Sana, 2010 niliwahi kushushwa kwenye gari zao za chai maharage bila sababu yoyote kisa tuu nimemuongelesha msichana aliyekuwa ameketi kando yangu kumuulizia kitu ninachoenda kushukia.
pia sokoni hapo darajani lijamaa limoja lilikataa kuniuzia mashine ya kukamua juisi ya miwa, mpaka nilitafuta mzanzibar akanisaidia kununua Kwa niaba yangu.
Sahii kabisa,Karume alifanya kosa kubwa sana kukubali huu Muungano, tamaduni za Zanzibar ziko tofauti kabisa na Tanganyika. Yeye kukubali Muungano ni sawa na kukubali kumezwa na watanganyika kiimani, kiutamaduni na kimila kwa sababu Watanganyika wapo wengi sana wakivamia Zanzibar ni rahisi sana kueneza utamaduni wao.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kuna watu hubadilisha dini ili waoe au kuolewa.To declare interest,
Mimi Ni mkristo Safi,tena by birth, Tena Roman Catholic. Kutokea tz bara.
Kwaiyo ukiwa unajibu,
Jitahidi jikite kwny hoja na sio personal.
Pia zingatia Hilo nilodeclare hapo juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo zote hamna huwez kuta mahubirj ya mwambosa Wala lusekelo uko.Zbc ipi unayozungumzia? Isijekuwa zbc2
Happy nmekuelewa mkuu[emoji106]Jitahidi kutofautisha kati ya Imani na utamaduni, imani ni jambo binafsi la moyoni la mtu, huwezi kulilazimsha na hauwezi kulizuia.
Kujenga kanisa Zanzibar hakuna uhusiano wowote na kuingilia au kuvuruga utamaduni wa watu wa Zanzibar zaidi ya kuharakisha maendeleo ya watu. Ukristo na wakristo wamekuwepo Zanzibar kwa zaidi ya karne na hakujakuwahi kuwa ni tatizo katika tamaduni za Zanzibar.
Hivi unajua ujio wa ukristo Zanzibar ndio ulihusika kuua biashara ya utumwa zanzibar na kuleta uhuru wa watu wa Zanzibar?
Hivi unajua katika uchaguzi mkuu wa 2020 hapa Zanzibar vyama vyote vya CCM na ACT (zamani CUF) vilijikita kwa hali na mali kusaka kura kutoka makundi ya taasisi za kikristo huenda kuliko taasisi za dini nyingine yoyote.
Hupaswi kudharau uwepo wa ukristo na wakristo hapa Zanzibar.
Ukwel gan wa mungu kuuwawa na watu wake msalaban na ilhal muda huohuo anamuomba mungu amnusuruSi kwamba wakiujua ukweli wataacha imani
kukosa Uvumilivu wa kidini Ni pamoja na kelele za hayo makanisa Yao, miziki full-time full sound.Bado sijaona tatizo kuhusu makubaliano ya aliyeuza na kuuziwa, na ikiwa kuna shida basi jibu lingekuwa ni kwenye vyombo vya sheria.
Ngoja nifafanue kidogo hapa.
Kikubwa mauziano yalifanyika kwa njia halali na kila mtu kupata haki yake hivyo sioni mantiki kwa muuzaji kutaka kulazimisha namna ya kulitumia hilo eneo wakati umiliki hauko tena mikononi mwake.
Pili shida sio nyumba ya ibada kuwepo maeneo ya makazi ya watu (kwa Zanzibar zaidi ya 90% ya nyumba za ibada ziko karibu kabisa na makazi ya watu), shida ni wakazi wa hilo eneo kukosa uvumilivu wa kidini dhidi ya kanisa lililojengwa hapo.
Sasa Vatican ndani ya italy inatofauti gani na Zanzibar ndani ya Tanzania?Nani kasema Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
Toka lini Zanzibar imekuwa nchi ya Kiislamu?
Nchi za kiislamu ni kama Misri, Algeria, Tunisia, Saudi Arabia (Maka na Madina) na kote huko makanisa yapo na wakristo wapo.
Vatican ni nchi ndogo sana (infact ni kasehemu tu ndani ya Italy kalikopewa mamlaka yake ya ndani) na sina uhakika utaratibu wa kidini ukoje kwa imani zingine tofauti na Ukatoliki.
Sasa injili itaenezwaje kama tutaogopa kujenga makanisa miongoni mwa jamii za kiislamu?Kwanza nadhani hapa ndo haswa panapohitaji kanisa kuliko huko kwengine ambapo yapo mengi.Mimi naona huyo jamaa aliyejenga kanisa hapo hakufanya sawa. Kwasababu asilimia 98 ya wazanzibar ni waislam. Ni hatari hata kwa maisha yake japo gharama ya ukristo ni zaidi ya uhai na mali. Kuna vitu vingine unatumia tu common sense na kupotezea.
Jibu hojaNajua wewe ni mzanzibar ila ulichoandika ni upotofu juu yangu, mimi sijaandika ulichoni_quote.
Hilo ndilo tatizo la hisia, yaani unakurupuka kabla ya kumuelewa mtu, sorry.
Ni sawa lakini Kilimanjaro inamjumuiko mkubwa kwa hiyo kuwepo misikiti mingi sio jambo la kustaajabisha.Ukitaka tufanye generalization Kilimanjaro ina misikiti mingi mara 5 zaidi ya hiyo Zanzibar.
Kwaio Makubaliano hayazingatiwi? inaonesha hujawahi kumiliki Ardhi wwBado sijaona tatizo kuhusu makubaliano ya aliyeuza na kuuziwa, na ikiwa kuna shida basi jibu lingekuwa ni kwenye vyombo vya sheria.
Ngoja nifafanue kidogo hapa.
Kikubwa mauziano yalifanyika kwa njia halali na kila mtu kupata haki yake hivyo sioni mantiki kwa muuzaji kutaka kulazimisha namna ya kulitumia hilo eneo wakati umiliki hauko tena mikononi mwake.
Pili shida sio nyumba ya ibada kuwepo maeneo ya makazi ya watu (kwa Zanzibar zaidi ya 90% ya nyumba za ibada ziko karibu kabisa na makazi ya watu), shida ni wakazi wa hilo eneo kukosa uvumilivu wa kidini dhidi ya kanisa lililojengwa hapo.
Soma vizur nilichoandikwa,Kuna watu hubadilisha dini ili waoe au kuolewa.
Wawaache wa-waste hizo resource si za kwaoo kwani wameomba mchango?Jibu ni jepesi and its clear They can'tstand the name of Jesus.Kuna ushetani mwingi sana hivyo Jina La Yesu linapotajwa kuna watu wanaathirika na mambo yao hivyo watatafuta kila excuse ya kuzuia injili isienee.Aliyewaambia wazanzibari wanahitaji makanisa ni nani?
Wazanzibar 99% ni waislamu hata hiyo misikiti iliyopo sasa haitoshi..
Hivyo anayehitaji kujenga nyumba ya ibada Zenji ajenge Msikiti ili kuCover mahitaji sahihi.
Unajenga kanisa la Tsh mil 100 halafu waumini wawili hiyo ni wastage of resources..
Eboo..!
Huwezi ukauma sehemu moja ukaacha nyingine....Hili Swala inabidi tuliendee bila kutumia hisia,nani hajui KERO ya makanisa ya kilokole yaliyotapakaa kila Kona ya nchi hii,kwa wakazi wa Dar,pale kawe Kuna makanisa kila Kona,yamefunga maspika makubwa,yaani yakiachia mziki mpaka mtaa wa saba masikio yanauma,Hawa wachungaji wa jasiliamali wao ni kuanzisha Kanisa kila Kona na mziki usiokoma.
Adhana ya waislam hai haichukui hata nusu saa,wakati ibada za kilokole ni siku nzima kuanzia saa sita na kuendelea.yule taperi mfalme zumaridi aliyekamatwa mwanza ni kwa sababu ya KERO,angekuwa amekamatwa Zenj,ingekuwa story nyingine.
Kwa Zenj,na nchi nyingi zenye wakristo kama minority group,kuwa na Kanisa au kuabudu kwa uhuru ni shida kidogo,hili serikali inabidi iliweke vzr.sasa kuhusu hilo Kanisa huko Zenj,lilijengwa kwa vibali?au ndio kama huku Bongo,yanaanzishwa kama uyoga Ili kupiga sadaka
Majority ni Waislam lakini wakristu pia wapo.Haki za minority ziheshimiwe unless ingekuwa declared ni nchi inayoongozwa kwa sharia.OK OK OK enough! naona engi wanakuja hapa na kelele za kutaka Samia aingilie kati etc etc. Kwanza niwajuze suali la ardhi na majenzi haliko katika muungano kwa hivyo Samia hana ubavu katika suali la serikali ya zanzibar. Mkitaka mabadiliko kwanzabadilini katiba, muingize suali la ardhi na majenzi katika muungano, jambo ambalo hatutolikubali NG'O!!!!!
Pili duniani kote huibuki tu ukanunua kiwanja na kujenga unachotaka, ni lazima upate kibali. Kadhalika duniani kote wakaazi wa sehemu huwa wana haki ya kupinga ujenzi wa aina yeyote ile katika sehemu zao wanazoishi. Ndio maana daima kunakuwepo uwasilishwaji wa maombi na kufuatiwa consultationust kabla ya kukubaliwa ua kukataliwa kwa project yeyote ile. Just because tanzania na nchi nyingi za afrika serikali hutumia ubavu na kufanya walitakalo, haimaanishi ni kosa kwa serikali kusikiliza na kukubaliana na pingamizi za wananchi wake.
Zanzibar wananchi wake wengi ni waisilamu na hatuhitaji makanisa kila mahali. hatupingi kujengwa kwa makanisa tu, bali pia tunapinga kujengwa kwa bars na night clubs katika kila pembe ya visiwa vyetu. Kubaliana nasi au usikubaiane nasi, huo ndio msimamo wetu. Mna hiari zenu huko kwenu lakini sio kwetu.
Mbona misikiti ipo uswahilini fresh tu?Ombeni vibali rasmi vya eneo la kanis muone kama mtakataliwa. Kwanini mkajenge makanisa uswahilini? Kwani hamna akili?
Sidhani kuwa dini yako inahitaji kujulikana hapa.
Morogoro ni Pwani? Au moro ni sehemu nyingine tofauti na Morogoro?Huna ubavu huo,
Pwani yote ya tanzania bara imejaa waislamu kibao.
Tanga,bagamoyo,dar,pwani,moro, mtwara n.k
Ukristo uko sana kaskazini sana,kusini kidg na Kanda ya ziwa Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app