Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Wanatumiwa na watu wengi kutakatisha fedha, pia ni sehemu za kuuza drugs
 
Huna hoja. Mbona wazanzibar wamejaa huku Bara na kila mtaa spika na msikiti ? Huo ni udini uliopitiliza
 
Mimi naona huyo jamaa aliyejenga kanisa hapo hakufanya sawa. Kwasababu asilimia 98 ya wazanzibar ni waislam. Ni hatari hata kwa maisha yake japo gharama ya ukristo ni zaidi ya uhai na mali. Kuna vitu vingine unatumia tu common sense na kupotezea.
Mhhhh. Hakuna kitu hapo, injili lazima ihubiriwe kwa kila kiumbe
 
Ninakumbuka yule aliykanyaga quruan Kilosa alishughulikiwa haraka sana. Ila kubomolewa kwa kanisa si tatizo.

Makanisa yanapiga kelele ila yale mavipasa sauti ya msikitini siyo tatizo.

Iko siku kisasi kitalipwa.
Tumeshajua udini sasa unapaliliwa. Wasipokuwa makini nchi itatumbukia kwenye dhahama
 
We andazi kweli wewe, ni ibara gani ya katiba ya zanzibar ya 2010 iliyotaja kuwa ni nchi ya kiislam? Tatizo hata hiyo katiba hujawahi hata kuishika unabwabwaja tuu
 
Muungano hauusiki na dini. Ukristu umekuwepo zanzibar miaka mingi kabla ya muungano. Kanisa la minara miwili na kanisa la anglicana ambalo judge Agustino Ramadhani alikuwa mpiga kinanda ni mfano wa uwepo wa ukristu kabla ya muungano. Hivyo kusema kuwa ukristu ni kero ya Muungano ni kuuzingizia hizo ni personal whims za watu wa vizazi vya sasa tu
 
Kwakweli waislam hawatakagi amani.. angalia mataifa ya kiislam zaidi ya asilimia 80 ni fujo tupu
Mataifa ya Kiislamu au yanayoishi Waislamu wengi?
Kwasababu maifa ya Kiislamu ninayajua mie ni IRAN, PAKISTAN, SAUDI ARABIA, COMMORO na hakuna fujo zozote huko.
Hizo nchi unazotaka kuzifanya kama rejea zina wakaazi wengi Waislamu tu lakini si nchi za Kiislamu, halafu jiulize fujo hizo zili na zinachochewa na nani?

Na hiyo 80% umeipata wapi? Chuki za aina yoyote zisitufanye kuandika kama kuku aliekatwa kichwa.
 
Uislamu si utamaduni wa Zanzibar, uislamu umeletwa Kama vile ukristo unavyoendelea kupelekwa kwa wazanzibari. Mtoa mada ni mtu asiyependa wakristo, wewe huwezi kutukana Imani za watu kwa favor ya Imani yako. Kama hutaki wazanzibari waokoke ni wewe. Kila mtu anahaki yakuabudu atakacho, hizo fikra zakulazimisha watu kumswalia Moddy ni ufinyu wa fikra. Acha watu watafute Mungu wao, iwe kwa hornspika za msikitini au spika za makanisani acheni watu wapaze sauti wamuite Mungu wao. Kama hutaki nenda kwenye dunia yako peke yako
 
Kwanini hawakufanya hivyo kipindi Cha Magufuli? Tunapaswa kuanzia hapo.Hawa wazanzibari ni vichokoo sana.
 
Hii Nchi inafuta katiba si hisia zako za kiislamu. Heshimu katiba,acha mawazo potofu.
 
Nyie dawa yenu inachemka.Hujui kuwa tunawatawala .
 
Wanathibiti makanisa ila misikiti inajengwa kila uchochoro hapo unaona sawa? Kwenu kanisa mnaona kama nini kwa mfano ni threat kwenu?
 
Unaposema kero kwenye makanisa na misikiti inayojengwa kama utitiri je haileti kero?
 
Walokole ni wasumbufu na wapigaji sana!
 
Ndio ni wavamiz, kwan ikiwa wenyeji wote ni islam kwnn muwaazimishe kuwapelekea kanisa? Waangalie maeneo ambayo yatakuwa na wafuasi wao wa kikristu ndo wakajenge huko
Wanaohitaji Daktari ni Wagonjwa.Huko ambako hakuna KANISA ndo hasa panatakiwa kujengwa kanisa.
 
Sema zaidi ya tupa kule au tupa wapi utakapo, at the end of the day hii ni nchi yetu na tutaamua sisi wapi makanisa na mabar yatajengwa na wapi hayatajengwa. Pigeni kelele mpaka majogoo warudi nyumbani hatubadili msimamo!
Hatushangai kupigwa Vita na Dini yenu kwa sababu Shetani hawezi kukaa karibu na Jina la Yesu linapohubiriwa. Tusingepigwa vita tungeshangaa.Lakini pamoja na vikwazo vyote neno litahubiriwa tu na watu wataokoka.Duniani tumeshuhudia watu magegedu kweli na wakaelewa nyie Wanzazibar hata level hiyo ya Ubandidu hamjafika.
 
Lakini kwenye kutaja mataifa ya kiislamu kama umeedit hivi bro maana yako mengi na wanachnjana kweli sio utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…