ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Sina cha kumfanya ni ushauri tu alinde mgongo wakeUtamfanya nini ewe binti?
Kwa tabia zake kuokota sabuni ni nje nje
Sina cha kumfanya ni ushauri tu alinde mgongo wakeUtamfanya nini ewe binti?
Kwa akili hizi usitegemee taifa itakuwa huru hili, aisee wewe si Wafaa kuwa mama wa familia kabisa ama?Wampe taji lake ni pisi ya kwenda hakuna kama yeye JF nzima..!! 😹😹
Kwanza ana weusi wa kuteleza Kama jongoo, kaenda hewani Kama twiga..!!
Nyuma kafungasha, kifuani chuchu konzi..!!
Ana unywele kama mkia wa farasi, ana komwe linamulika mpaka kesho..!! 😹
Ana PhD ya mbunye nene..
Awwwwww Wizo wetu mzuri bhanaa..!!
Tatizo lako unaleta uzi wa chit chat halafu unataka tuwe serious..!!Kwa akili hizi usitegemee taifa itakuwa huru hili, aisee wewe si Wafaa kuwa mama wa familia kabisa ama?
Je, huu uzi uko chit chat?Tatizo lako unaleta uzi wa chit chat halafu unataka tuwe serious..!!
Sasa kuwa mama wa familia inahusiana nini humu JF?
Kama unataka kujadili familia itisha ukoo wako mjadili..!!
Wewe unavyoona unastahili kukaa wapi kwa maudhui uliyoandika?Je, huu uzi uko chit chat?
Mbona unaji toa ufahamu?
Komwe linamulika hadi kesho ya wanangu, eti PHD ya nini 😂😂Wampe taji lake ni pisi ya kwenda hakuna kama yeye JF nzima..!! 😹😹
Kwanza ana weusi wa kuteleza Kama jongoo, kaenda hewani Kama twiga..!!
Nyuma kafungasha, kifuani chuchu konzi..!!
Ana unywele kama mkia wa farasi, ana komwe linamulika mpaka kesho..!! 😹
Ana PhD ya mbunye nene..
Awwwwww Wizo wetu mzuri bhanaa..!!
Duuuuh chiwawa tena?Umeona Chiwawa kaunganishiwa account zake zote then akapigwa ban tena 🤣
Chiwawa nilimwambia hakusikia, akaanza tena utukutu wake..!!Komwe linamulika hadi kesho ya wanangu, eti PHD ya nini 😂😂
View attachment 3689746
Umeona Chiwawa kaunganishiwa account zake zote then akapigwa ban tena 🤣