Kama miss grand ni JIhan, je nani anafaa kuwa miss jf?

Kama miss grand ni JIhan, je nani anafaa kuwa miss jf?

Hakuna uzushi wa aina yoyote umewahi kuona nikimzushia nani mwingine?

Hiyo tabia ni ya kishamba sana
Hivi kama kweli wanawake wa selfika uliohifadhi picha zao ni wabaya kama unavyosema kwa nini wa kushughulishe kiasi hicho?

Kwanini wewe huweki picha yako tukuone?

Halafu ulitaka uwaone wazuri wote ili iweje kwa mfano ?

Wanokuchekea nadhani hawakujui vizuri wewe ni mtu hatari sana ukiwa kwenye kundi la watu ni wale aina ya watu wakiwa sehemu sahau kuhusu utulivu na amani
Aisee, 😂😂😂 nami nilisambaziwa upendo tu

Sina mazoea na sijawahi kuingia selfika.
 
Unapata faida gani kwa kufanya hivi?
Au ndio kitu kinakupa furaha?
Binafsi hata sijui unaongelea nini. Sijawahi enda kwenye pm ya mtu kusambaza picha, kama yupo aseme,

Kwanza hizo taarifa kakupa nani? Na je nilikua kwa pm yako?
 
Inaruhusiwa kupiga kura kwa multiple IDs 😃😃

Miss JF kwangu ni Binti wa zamani nadhani kwa kila kigezo ambacho mtatumia kuchagua mshindi amewaacha mbali mnooo

Hakuna kama huyu humu kwa chochote kilee mpeni badge yake tu mambo yasiwe mengi
Duuh sawa.
 
Huyo aliekusambazia upendo ilibidi umwambie aache unoko
Au nayeye ni aina ya wale mabibi na mabwana ameshindwa kulinda mgongo wake
Aisee,🤣🤣

Kazini kuna kazi..

Ni vile tu vijana wamevurugwa
 
Na mimi naunga mkono, hakuna mrembo kama BICHWA KOMWE - humu 🔥

Swali kabisa 😂😂 hilo hatuna 😂

Labda sifa za ulivyo mnono, mtoto wa kimanyema, uliyenyambulika, umbo limejikata, mkia tausi anasubiri, namba 8 ya kwenda, maji ya kwanza kabisa Lamomy hebu njoo unisaidie kumimina sifa za Bichwa, nakosa maneno ya kutosha.
Wampe taji lake ni pisi ya kwenda hakuna kama yeye JF nzima..!! 😹😹

Kwanza ana weusi wa kuteleza Kama jongoo, kaenda hewani Kama twiga..!!
Nyuma kafungasha, kifuani chuchu konzi..!!

Ana unywele kama mkia wa farasi, ana komwe linamulika mpaka kesho..!! 😹

Ana PhD ya mbunye nene..
Awwwwww Wizo wetu mzuri bhanaa..!!
 
Back
Top Bottom