Kama miss grand ni JIhan, je nani anafaa kuwa miss jf?

Kama miss grand ni JIhan, je nani anafaa kuwa miss jf?

Hayo mengine ya kwamba BICHWA KOMWE - hajui jinsia yake mi hata siyajui Mkuu na sidhani kwa huu uanonymous wetu ipo haja ya kujiumiza kichwa kiasi hicho.

Hahahaa! Yaliyopita si ndwele mkuu.

Tugange haya ya uzi wako wa leo.
Wananibishia jinsia yangu kwa sababu wana kadi yangu ya kliniki!

Unakuta libaba kabisa lina mandevu linabishia jinsia ya BICHWA KOMWE!

Au wanatamani niwachakate vibwenye vyao?
 
Kwa mwaka huu apewe Joanah hao wengine wasubiri mashindano ya mwakani labda watapata na wao.

Au nakosea ndugu wananchi?

Uzi umenikumbusha enzi za chuo, kuna watu walikuja chuoni kwetu kutafuta ma-miss/models (sina uhakika kama ni utaratibu wa kawaida) ... mmoja wao alivyoniona akaniambia nafaa kwa wanachotafuta lakini nipunguze hips na matacco 😆
 
Huyo mmoja wao ni mimi,
Ila nilikosea kukwambia upunguze hips na matacco,ilikua ni utani tu,usipunguze kitu.
 
Anawafahamu
Kwani wewe hajakufikia huko PM ?
Inasemekana alikua na screen shot za wadada wa selfika kibao akibisha hodi kila mlango PM kuwaonesha

Umemuona huyu?
Huyu ni fulani😅😅🙌🏼
Ewe binti ni nani aliye kupa taarifa hizi?

Je wewe ni spy? Ni nani huyo aliye kupa uongo🤣 dooh aisee kumbe jf ina mzungu ko mkubwa namna hii?
 
Uzi umenikumbusha enzi za chuo, kuna watu walikuja chuoni kwetu kutafuta ma-miss/models (sina uhakika kama ni utaratibu wa kawaida) ... mmoja wao alivyoniona akaniambia nafaa kwa wanachotafuta lakini nipunguze hips na matacco 😆
Kumbe Joanah una makebo na hips, basi bwana tunakuweka katika list
. Haya mtanange uendelee
 
Back
Top Bottom