hahahahahaha, anasifa za kuwa miss bantu, yaani tako tako,kiuno dondora, mwendo wa kinyonga,rangi ya chokolateBantu Lady ama??
Gu.....ner 🫣🥸Shut that smelly mouth, kama huna list pita kushoto
Naunga mkono hoja BICHWA KOMWE - anastahili
hahahahahahahaMkuu unakuwa kama jike kuogopa ogopa au una kolonibhumublitaona nongwaa?
ngoja niangalie listWeka jina babu
hahahahaha,wengine wakubali matokeoKwa mwaka huu apewe Joanah hao wengine wasubiri mashindano ya mwakani labda watapata na wao.
Au nakosea ndugu wananchi?
Hayo mengine ya kwamba BICHWA KOMWE - hajui jinsia yake mi hata siyajui Mkuu na sidhani kwa huu uanonymous wetu ipo haja ya kujiumiza kichwa kiasi hicho.Ila wewe bwanaa si kudhani kama utakuwa na tabia hii mbaya kwakweli, yaani huyu huyu bichwa anayesemaga yeye mwenyewe hajui jinsia yake..
Na anakomwe kubwa sana, mpaka lina PA uzi to kichwani awe miss jf kweli?
Hapana, aisee,
Hahahaa! Yaliyopita si ndwele mkuu.Sema basi ulisha wahi kuwa miss jf, maana kuna nyuzi nnilionaga kitambo wamekutaja wajuvi
Haya miss jf wa kitambo. Ila labda utatu saidia kujudgeHayo mengine ya kwamba BICHWA KOMWE - hajui jinsia yake mi hata siyajui Mkuu na sidhani kwa huu uanonymous wetu ipo haja ya kujiumiza kichwa kiasi hicho.
Hahahaa! Yaliyopita si ndwele mkuu.
Tugange haya ya uzi wako wa leo.
Kama unatubishia sawa endelea kuhangaika kama utapataHaya endelea kuamini, hivyo.