Si bure unataka kunigombanisha na mdogo wangu.Ila Shadeeya ni MNAFIKI wewe! Kwamba bichwa komwe anachukua taji na hana mpinzani?
hahahaha kwa haya majina feki? unaeaza kuta humu kuna ma miss bantuWeka majina mkuu
Ila wewe bwanaa si kudhani kama utakuwa na tabia hii mbaya kwakweli, yaani huyu huyu bichwa anayesemaga yeye mwenyewe hajui jinsia yake..Si bure unataka kunigombanisha na mdogo wangu.
Hebu niache ibakie hivyo hivyo. 😀
Wenye Mamiss wao watakuja wawataje ila kwangu naona mdogo wangu wa Kimanyema anafaa. 😂
Umenikumbusha Bantu Lady naskia naye ni wa moto saanahahahaha kwa haya majina feki? unaeaza kuta humu kuna ma miss bantu
labda JF MISS BANTUJpil, imekaaje wanabodi?
Binafsi nimefurahishwa na nguvu ya watanzania..
Hakika sisi ni #nguvu_Moja
Ni kweli she was destined despite coming from Tanzania, and being the first one to win from Africa.
Hakika watz tuna love sana, hebu hii nguvu tuiwekeze katika jamii zetu na familia zetu tutafikia mbali sana
Haya basi, leo jpili utulivu kabisa, naomba leo tushindanishe miss jf hapa ndani.
Na @moderators atakaye shinda apewe badge ya @miss jf kwa vile tunalinda privacy hiyo ndo itakuwa zawadi yake,
Instead of platinum badge atapewa miss jf badge.
Naanza na list yangu, binafsi naona hawa ndo wakali kwa mtazamo wangu.
Wekeni majina nitarejea.
Bantu Lady ama??labda JF MISS BANTU
Hahahahahaha,mie sina list niwe mkweliNdio, kwani zinashinda kiongozi???
Weka list mkuu, acha kubwa bwaja
Ndio nnautaka nikupe wewe🥸Mimi dume mkuu, wewe unautaka?