cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mimi 😍❤️😍❤️😍
Aisee, wewe mtoto una stahili fimbo kabisa kwa uzushi huuAnawafahamu
Kwani wewe hajakufikia huko PM ?
Inasemekana alikua na screen shot za wadada wa selfika kibao akibisha hodi kila mlango PM kuwaonesha
Umemuona huyu?
Huyu ni fulani😅😅🙌🏼
Binti wa kimanyema mwenye umbo lake namba nane, umepita mrembo katuwakilishe kimataifaSwadakta, binti wa kimanyema hapa.
Naupiga mwingi.
Kwa ukauzu wako, na kudanganya eti unatuaga, 😂😂 bila shaka ni mali ya chuga hii, au bwana The Icebreaker nina danganya?Hapa ndo JF inaponishangazaga
Wewe napotokea nani kakutajia? Na unaandika kwa kujiamini kabisa
Weee wadada tena vigori vya under 20 vipoHakuna wadada humu wamejaa mama zako kijana.
Kwa ukauzu wako, na kudanganya eti unatuaga, 😂😂 bila shaka ni mali ya chuga hii, au bwana The Icebreaker nina danganya?
Na mimi naunga mkono, hakuna mrembo kama BICHWA KOMWE - humu 🔥
Swali kabisa 😂😂 hilo hatuna 😂Kwani kuna mtu ana swali? 😂😂
Kama amesema yeye sio wa huko basi heshimu hilo,huwezi kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye mwenyewe.Kwa ukauzu wako, na kudanganya eti unatuaga, 😂😂 bila shaka ni mali ya chuga hii, au bwana The Icebreaker nina danganya?
Hakuna uzushi wa aina yoyote umewahi kuona nikimzushia nani mwingine?Aisee, wewe mtoto una stahili fimbo kabisa kwa uzushi huu
Unapata faida gani kwa kufanya hivi?Ewe binti ni nani aliye kupa taarifa hizi?
Je wewe ni spy? Ni nani huyo aliye kupa uongo🤣 dooh aisee kumbe jf ina mzungu ko mkubwa namna hii?
King of REACTIONS unafaa sana kuvikwa hilo taji kwa mwaka huu.Jpil, imekaaje wanabodi?
Binafsi nimefurahishwa na nguvu ya watanzania..
Hakika sisi ni #nguvu_Moja
Ni kweli she was destined despite coming from Tanzania, and being the first one to win from Africa.
Hakika watz tuna love sana, hebu hii nguvu tuiwekeze katika jamii zetu na familia zetu tutafikia mbali sana
Haya basi, leo jpili utulivu kabisa, naomba leo tushindanishe miss jf hapa ndani.
Na @moderators atakaye shinda apewe badge ya @miss jf kwa vile tunalinda privacy hiyo ndo itakuwa zawadi yake,
Instead of platinum badge atapewa miss jf badge.
Naanza na list yangu, binafsi naona hawa ndo wakali kwa mtazamo wangu.
Wekeni majina nitarejea.
Mbona anasura ya mishangazi ya bungeniNa mimi naunga mkono, hakuna mrembo kama BICHWA KOMWE - humu 🔥
Swali kabisa 😂😂 hilo hatuna 😂
Labda sifa za ulivyo mnono, mtoto wa kimanyema, uliyenyambulika, umbo limejikata, mkia tausi anasubiri, namba 8 ya kwenda, maji ya kwanza kabisa Lamomy hebu njoo unisaidie kumimina sifa za Bichwa, nakosa maneno ya kutosha.
Na vibibi tunahusika kwani??? Acha kuchekesha watu mkuu!
Kwanza miss grand ndovitu gani hebu nielewesheni kilaza miye !!
Cc Smart911
Mie sifit hapo mkuu mi ni mshangazi unaoelekea kwenye ubibi!!Mimi hata sielewi, ila kichwa cha habari cha uzi huu.
Una stahili kuwa miss wetu wa wakati wote hapa jf, nisiulizwe sababu.