Kama miss grand ni JIhan, je nani anafaa kuwa miss jf?

Kwa akili hizi usitegemee taifa itakuwa huru hili, aisee wewe si Wafaa kuwa mama wa familia kabisa ama?
 
Tatizo lako unaleta uzi wa chit chat halafu unataka tuwe serious..!!

Sasa kuwa mama wa familia inahusiana nini humu JF?

Kama unataka kujadili familia itisha ukoo wako mjadili..!!
 
Je, huu uzi uko chit chat?
Mbona unaji toa ufahamu?
 
Komwe linamulika hadi kesho ya wanangu, eti PHD ya nini πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeona Chiwawa kaunganishiwa account zake zote then akapigwa ban tena 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…