Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Tuma namba sasahivi mkuu! Mrejesho ntakupatia baada ya mwezi mmoja.
 
Mkuu tema mate chini . We ndio wakumwamin mwanamke kwa asilimia tajwa apo?? Uwiiiii....ngoja tusubir mzunguko wa dunia ukamilike [emoji1787][emoji1787]ila ....dah ! Time will tell
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787] hiyo asilimia tajwa inafikirisha sana ni vile hajui akili za hawa viumbe zinavobadilika badilika kutokana na mazingira
 
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila tunanangwa jmn
 
Si hapo tu,mkeo akiwa ameajiriwa na ana shepu matata, jiandae kisaikolojia
 
"Usinga" au "ushinga"

Kama kuna msambaa happ karibu muulize akufafanulie
 
Eti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?
Ila muda mwengine Hawa vijana wa DSO huwa nawaonea wivu hebu fikiria;
Mshahara haukatwi NSSF, PAYE, sijui CHAMA yaani wao ni NHIF tu ndio inakatwa. Hapohapo House allowance juu.

ila sisi wengine kamshahara kadogi ila wanakata makato kibaoo na hakuna allowance yoyotee..!!

serikali ya CCM haijawahi kuwa sawa.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…