Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Duh nje ya Kaunda suti!
 
Hela chafu wanazitolea wapi[emoji23][emoji23] Yani hadi Leo Kuna watu wanawatetemekea Hao mbona kawaida Sana afu ni akili tu ya mwanamke na ushamba tu
 
Wamasai wana akili sana!

Wivu wa rejareja hawana.
 
Haya mambo yapo kweli? Mi naonaga ni km utapeli tuu

JamiiForums mobile app
 
Kumbuka pia wanataaluma ya kutunza Siri zote kuanzia embargo mpaka Siri kuu hivyo shemela atagegedwa na wala hutajua milele. Wana zingatia ;

S isemi
I isipokuwa
R uhusa
I kitolewa
Ww mkeo anafanya kazi wapi mkuu
 
Mizizi ology inafanya kazi blaza umto.m...b.ee
Mtu mkewe ajue....
Mbaya zaidi ajue una nguvu kipesa
wanakupiga kitu......
kuna jamaa mmoja alipigwa mzizi
mpaka leo kule nyuma anakotolea taka ngumu kunamuwasha balaa....
nafuu yake ni kuchomwa sindano za usingizi...
wakati mijadala ya usuluhishi inaendelea
 
Siku ukikuta ameinamishwa nyuzi 90 kama chura utajua hujui......
nyie ndio mnaopataga ukichaa.....
manake kumeza inakuwa ngumu kweli
 
Mkuu tema mate chini . We ndio wakumwamin mwanamke kwa asilimia tajwa apo?? Uwiiiii....ngoja tusubir mzunguko wa dunia ukamilike 🤣🤣ila ....dah ! Time will tell
Siku akija jua demu wake wanamla mpaka ndogo ndio atajua kwamba dunia ni jalala
 
Katika vitu ambavyo sir God alituweza ni kuweka tujiwivu.....
Laiti kama kutombe......w..a mke ingekuwa kama vile kumuazima mtu kinu cha kutwangia mahindi ama karanga......
Maisha yangekuwa simple sana bila stress za ajabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…