Mwache tuUsipime kina kwa kudumbukia, ipo siku hutaamini macho yako!!! Again don't ever trust a waman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache tuUsipime kina kwa kudumbukia, ipo siku hutaamini macho yako!!! Again don't ever trust a waman
Usimwambie ukweli ataelewaMkuu tema mate chini . We ndio wakumwamin mwanamke kwa asilimia tajwa apo?? Uwiiiii....ngoja tusubir mzunguko wa dunia ukamilike [emoji1787][emoji1787]ila ....dah ! Time will tell
😍🤣🤣Haina tofauti na kusema, watu waache kusafiri kisa ajali zipo....
Duh nje ya Kaunda suti!😀😀 ujue watu wanaogopa wasichokijua, Wasaidizi wa mama wenyewe maisha yao tunayajua, tunapeleka watoto shule sehemu moja, nje ya kaunda suti wana maisha ya kawaida tu mbona sembuse hawa wa kwa DSO! Come on people!
Mtu kama ni mhuni ni mhuni tu!
Kwamba na wewe ni mmoja wao?Acha kuwastua mkuu..tunawala kinoma yani
😀 nimeongeza chumvi kidogo, i meant kusema maisha yao ni ya kawaida tu. Nyumba moja/mbili, gari kuafford ada za kiwango fulani basi.DUh nje ya Kaunda suti!
Kwa vijana wa sasa hasa waajiriwa WAPYA mwenye hivyo vitu ana hela chafu....na kuthibitisha ana hela chafu atakwambia anawala sana watoto wa kike!😀 nimeongeza chumvi kidogo, i meant kusema maisha yao ni ya kawaida tu. Nyumba moja/mbili, gari kuafford ada za kiwango fulani basi.
Nani kakwambia kupata watoto ni lazima kuoa?Acha utoto sasa utapataje familia au utabeba mimba wewe mwenyewe na utaingia leba kuzalishwa na dada zako
Endeleeni kuteseka na hizo ndoa ZENU.Haina tofauti na kusema, watu waache kusafiri kisa ajali zipo....
Na nani ka kwambia kila mwanamke unaeishi nae lazima mfunge ndoaNani kakwambia kupata watoto ni lazima kuoa?
#YNWA
Wewe endelea kufurahia ubachelor wakoEndeleeni kuteseka na hizo ndoa ZENU.
#YNWA
Haya mambo yapo kweli? Mi naonaga ni km utapeli tuuPredator hiyo....kaliwa mchana mchana.
Kuna mafundi wako misitu huko ndanu ndani Satelite yenyewe inasuburi kutoa takwimu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanazoom unaulizwa ndiyo huyu?
Ukisema ndiye basi kazi yaisha.Unatumwa ziwani huko unatupa mzigo.
Hesabh siku saa sekunde ndio hayo sasa.
Ww mkeo anafanya kazi wapi mkuuKumbuka pia wanataaluma ya kutunza Siri zote kuanzia embargo mpaka Siri kuu hivyo shemela atagegedwa na wala hutajua milele. Wana zingatia ;
S isemi
I isipokuwa
R uhusa
I kitolewa
Mizizi ology inafanya kazi blaza umto.m...b.eeNimekusoma
Ila wanakutanaga na vyuma kuna wanaume
Wengine wakishajua kinguvu hawawezi wao
Wana mshtakia mungu
Kuna mtu alikuwa mzito alikuwa anajipigia mke wa jamaa tena kibabe dharau
Mme akasoteshwa,akaamua kukaa pembeni
Yule kigogo mpk leo mtu wa kukaa kitandani tu
Sijui nn alifanyiwa😂😂😂
Ova
Siku ukikuta ameinamishwa nyuzi 90 kama chura utajua hujui......Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Siku akija jua demu wake wanamla mpaka ndogo ndio atajua kwamba dunia ni jalalaMkuu tema mate chini . We ndio wakumwamin mwanamke kwa asilimia tajwa apo?? Uwiiiii....ngoja tusubir mzunguko wa dunia ukamilike 🤣🤣ila ....dah ! Time will tell