Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Amechanganyikiwa baada ya kudhulumiwa my wife wake, mpe pole na vizuri tumfariji.Kulikon mkuu, saa kumi za usiku sasa hivi, uko kitandani unawaza vitu viwili
1. Idara pendwa
2. Pisi kali ya mtu kuliwa
Mkuu maisha mepesi sana if you take it easy, na maisha ni magumu sana if you realy complicate it
Sent using Jamii Forums mobile app