GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni
2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka
3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni
4. Wakiwa Kwao wana Fitna za Kisayansi.
5. Usithubutu Kuwaroga kwani licha ya Wao Kuujua huo Uchawi ila hata nchi yao ina Chuo Kikuu cha Uchawi ( Sangoma ) kinachotoa Degree na GENTAMYCINE niko njiani kwenda Kujiunga nacho ili Niwaroge Maadui zangu wote hapa JamiiForums
6. Mishahara ya Wachezaji wao tu inaweza Kuinunua Klabu moja Kubwa nchini Tanzania yenye Mdhamini Muuza Magodoro ya Kuumiza Mgongo na Mbavu
7. Leo watacheza Mpira mwingi na mkubwa zaidi ya ule Walioucheza Juzi na Mabingwa Mamelodi Sundowns ambao unaweza Kusababisha Maafa makubwa na Watu wakapoteana kwa Mkapa.
Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake/ Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.