Kama mlikuwa hamlijui hili kuhusu Marumo Gallants FC basi leo mlijue

Kama mlikuwa hamlijui hili kuhusu Marumo Gallants FC basi leo mlijue

Hongera sana Mkuu, usinisahau kwenye Ufalme wako.

Kwa taarifa za ndani eti wewe ndiye unayefuata baada ya Mama katika kutupeleka Nchi ya asali na Maziwa 😁
Nikiwa Rais wa Tanzania nitakuwa ni zaidi ya Hayati Magufuli na mtaanyooka na Tanzania itaheshimika kuliko inavyodharaulika sasa.
 
Hivi kumbe kuna Wapumbavu wanaoamini kuwa huyo Pichani ndiyo Mimi GENTAMYCINE halisi?
Haitakiwi kuamini hivyo ndo maana nikampa angalizo huyo aliyeleta hiyo picha kama siyo picha yake wala yako halafu anaituimia kukutambulisha ni kukosa heshima kwa binadamu wengine.
 
Kuna thread nliona mtu anasema Genta ni mtu mwenye kitambi na mfupi, Kuna uhusiano wowote Kati ya akili na muonekane wa mwili

071ecab1-7619-4e71-b358-8e41572dc131.jpg
 
You forgot to tell us, I don't know if it is by design or default their current position in their premier league. For your information, Dar es Salaam Young Africans are at the helm of the premier league.

LEARN TO RESPECT YOUR ELDERS YOUNG MAN.

Nitakutafuta jioni tupate beer mbili mbili huku tukifurahia magoli mengi ya Yanga.
 
WANANCHIIIIIII LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUONESHA ULIMWENGU KWAMBA YANGA INA UKUBWA KIASI GANI.

MAKOLO WAMEJARIBU KUIKUZA MARUMO KWA KILA NAMNA ILA LEO TUTAENDA KUWAONESHA YANGA NI NANI.
EWE MWANANCHI TEMBEA KIFUA MBELE KWANI LEO NDIO TUNAENDA KUINGIA FAINALI RASMI.

LEO MADUNDUKA YATALILIA CHOONI.
 
Back
Top Bottom