Kuna popoma moja asubuhi lilikua linaisifu timu ya wageni. Sijui limeshameza dawa zake za masaa au limelazwa kabisa Mirembe.
GENTAMYCIME.
Learn to respect your elders.
GENTAMYCIME.
Learn to respect your elders.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popoma ogWa Babaako hauna hayo mashaka?
Unajisikiaje nowKwenye timu yao hawana muhalifu.
Morrison anasalimiwa
Yani wewe ni bonge la boya Acha kushinda karume na kunywa kahawa siku nzima1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni
2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka
3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni
4. Wakiwa Kwao wana Fitna za Kisayansi.
5. Usithubutu Kuwaroga kwani licha ya Wao Kuujua huo Uchawi ila hata nchi yao ina Chuo Kikuu cha Uchawi ( Sangoma ) kinachotoa Degree na GENTAMYCINE niko njiani kwenda Kujiunga nacho ili Niwaroge Maadui zangu wote hapa JamiiForums
6. Mishahara ya Wachezaji wao tu inaweza Kuinunua Klabu moja Kubwa nchini Tanzania yenye Mdhamini Muuza Magodoro ya Kuumiza Mgongo na Mbavu
7. Leo watacheza Mpira mwingi na mkubwa zaidi ya ule Walioucheza Juzi na Mabingwa Mamelodi Sundowns ambao unaweza Kusababisha Maafa makubwa na Watu wakapoteana kwa Mkapa.
Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake/ Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Hawa jamaa wafupi, wako watatu na wote ni watoto wa familia moja.
Umeingia cha kike.Mkuuu nakukubali sana no matter what
Leo umehangaika sana kama uko labor.1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni
2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka
3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni
4. Wakiwa Kwao wana Fitna za Kisayansi.
5. Usithubutu Kuwaroga kwani licha ya Wao Kuujua huo Uchawi ila hata nchi yao ina Chuo Kikuu cha Uchawi ( Sangoma ) kinachotoa Degree na GENTAMYCINE niko njiani kwenda Kujiunga nacho ili Niwaroge Maadui zangu wote hapa JamiiForums
6. Mishahara ya Wachezaji wao tu inaweza Kuinunua Klabu moja Kubwa nchini Tanzania yenye Mdhamini Muuza Magodoro ya Kuumiza Mgongo na Mbavu
7. Leo watacheza Mpira mwingi na mkubwa zaidi ya ule Walioucheza Juzi na Mabingwa Mamelodi Sundowns ambao unaweza Kusababisha Maafa makubwa na Watu wakapoteana kwa Mkapa.
Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake/ Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Akili fupi
Timu inawakilisha Afrika mashariki vizuri bado Kuna watu wanaumia? Walitaka hii neema iende kwa GOR MAHIA?Maumivu ni makali mno mitaa ya frank lampard pale kkoo