Kama mlikuwa hamlijui hili kuhusu Marumo Gallants FC basi leo mlijue

WANANCHIIIIIII LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUONESHA ULIMWENGU KWAMBA YANGA INA UKUBWA KIASI GANI.MAKOLO
WAMEJARIBU KUIKUZA MARUMO...
Idadi ya Wendawazimu inazidi tu Kuongezeka.
 
1.wale rivers nadhani walifungwa na yanga tu home kwao msimu huu

2.spidi huwa haisaidii kwa timu yenye kutandaza soka chini kama yanga,barca na man city

3.kwa yanga wanavyopenda kupiga pasi kama timu za pep guardiola uwanja wao mpana utawapa shida wenyewe dhidi ya yanga

4.kwa sasa yanga wana hela fitna kwa mtu mwenye hela ni kujisumbua si ajabu gsm wakakodi hoteli nzima kule south kwa ajili ya yanga tu ili tukibake marumo home and away

5.yanga washatoka huko kwenye mambo ya ulozi ndo maana wanapiga mpira mwingi sana siku hizi iwe nyumbani au ugenini

6.kwa bahati mbaya mishahara haichezi mpira ndo maana wanashuka daraja

7.tunatarajia kuwaona wakitumia nguvu nyingi kwenye hii nusu fainali dhidi kwani hawana cha kupoteza,wao ni underdog ndo maana kwenye betting ana odds 8+

kila la heri yanga katika kuliwakilisha taifa

ANGALIZO

asije mtu kupigwa 5 mkasema timu yenyewe kibonde kwenye ligi yao inashuka daraja,tutawabaka kwasababu kiume chenu kishakufa hakuna namna nyinyi ni wa kubakwa nyuma tu.
 
Sinywi Bia na siyo Mlevi wa Pombe labda uniambie utanitafuta hiyo Jioni ili Nikubandue vyema Nyabenga lako hilo.
 
Nikiwa Rais wa Tanzania nitakuwa ni zaidi ya Hayati Magufuli na mtaanyooka na Tanzania itaheshimika kuliko inavyodharaulika sasa.
Vyovyote iwavyo, muhimu unipe nafasi ya kulamba asali kama Injinia Mfugale au Kijazi enzi za JPM 😁

Kila la kheri our next President to be 🙌
 
6. Mishahara ya Wachezaji wao tu inaweza Kuinunua Klabu moja Kubwa nchini Tanzania yenye Mdhamini Muuza Magodoro ya Kuumiza Mgongo na Mbavu
 
watakucheka kwa hiki ulichokiandika ila kuna hatari Yanga akabumundwa vibaya sana leo..
 
watakucheka kwa hiki ulichokiandika ila kuna hatari Yanga akabumundwa vibaya sana leo..
Hili la Kufungwa vibaya leo Dar es Salaam Tanzania na South Africa Wiki ijayo tarehe 17 Mei, 2023 nililiona Kitambo sana.
 
Sinywi Bia na siyo Mlevi wa Pombe labda uniambie utanitafuta hiyo Jioni ili Nikubandue vyema Nyabenga lako hilo.
Wakuria siku hizi mnalialia bila hata kupigwa utadhani wasimbe mkiongozwa na Waitara mtaweza kitu gani.
 
First time ever semi finalist.
Ila Yanga kwa kuweka rekodi utawapenda tu.
Tangu uwanja ufunguliwe 2007.
Wizara ya Afya na ile ya Makundi Maalum chini ya Waziri Dkt. Gwajima D mnajua kuwa idadi ya Wendawazimu inazidi tu Kuongezeka nchini Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…