Kama mlikuwa hamlijui hili kuhusu Marumo Gallants FC basi leo mlijue

Yani wewe ni bonge la boya Acha kushinda karume na kunywa kahawa siku nzima
 
Huyu hapa Ila tambo zake sasa

View attachment 2616405
Hawa jamaa wafupi, wako watatu na wote ni watoto wa familia moja.

Huyo kwenye picha kwa jina ni Cotelf, mwingine Shedrack na mwingine jina limenitoka.

Tumesoma nao shule moja ya msingi Arusha. Shule ilikuwa inaitwa Nambala Primary School? ila siku hizi imebadilishwa jina inaitwa Tengeru Primary School.

Nimekumbuka mbali sana kumuona huyo jamaa. Bahati mbaya leo kawa CCM(amepotea).
 
Leo umehangaika sana kama uko labor.
 
Yanga wamefunga midomo ya ndugu zetu wengi Sana. Ni wakati Sasa sisi Simba tujifunze kitu kutoka kwa Kaka zetu mabingwa wa makombe manne msimu huu. Yaani Dar es Salaam Young Africans.
 
Maumivu ni makali mno mitaa ya frank lampard pale kkoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…