Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha.
Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili mpate kick?
Sakata la Ngorongoro je? Mbona mnalielezea vingine kabisa? Sakata la Ngorongoro nalo mlidhania litawapa kick?
Naona mnapoelekea ni pabaya, ipo siku mtajadili hadi mavazinya viongozi.