Wewe nae una akili ndogo sana. Kwa hiyo alikodi dege zima la Emirate?
..angekodi ETHIOPIAN airlines angeokoa fedha nyingi zaidi.
..pia angekuwa mzalendo wa bara la Afrika kwa kusupport biashara baina ya nchi za Kiafrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nae una akili ndogo sana. Kwa hiyo alikodi dege zima la Emirate?
sasa unalia nini ?Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha.
Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili mpate kick?
Sakata la Ngorongoro je? Mbona mnalielezea vingine kabisa? Sakata la Ngorongoro nalo mlidhania litawapa kick?
Naona mnapoelekea ni pabaya, ipo siku mtajadili hadi mavazinya viongozi.
Msamehe bure ni mgonjwaAisee.
Kuna watu hawana akili kabisa, mfano ni huyu Idugunde
Note: Mimi sio CCM wala CHADEMA (sio mwanasiasa)
Umewaona hao abiria wakishuka?Ndio wanaopiga kelele zisizo na mashiko watuambie. Kwani hakukuwa na abiria wengine tofauti na msafara wa rais Samia? Au ndio kukariri na kushoboka tu?
Imemzungusha sehemu zote..what happened?
..hiyo emirates alipanda yeye na ujumbe wake ktk safari za kawaida za shirika hilo?
..au alikodi ndege ya emirates ikampeleka France, Belgium, na kumrudisha?
Imemzungusha sehemu zote
Na yeye angekuwa analipa kodi angebana matumizi..Emirates ni aghali sana.
..walau wangepanda Ethiopian kama walilenga kubana matumizi.
weka tume huruSasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha.