Kama mmefikia kuwa na hoja duni kama hizi, mtapata nafasi ya kupata sapoti tena toka kwa wananchi?

Wewe nae una akili ndogo sana. Kwa hiyo alikodi dege zima la Emirate?

..angekodi ETHIOPIAN airlines angeokoa fedha nyingi zaidi.

..pia angekuwa mzalendo wa bara la Afrika kwa kusupport biashara baina ya nchi za Kiafrika.
 
Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha.

Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili mpate kick?

Sakata la Ngorongoro je? Mbona mnalielezea vingine kabisa? Sakata la Ngorongoro nalo mlidhania litawapa kick?

Naona mnapoelekea ni pabaya, ipo siku mtajadili hadi mavazinya viongozi.
sasa unalia nini ?
 
weka tume huru
ondoa ccm na TISS plus polisi wale wanaoua watu
acha vyombo vya habari vitangaze wagombea wote sio unavinunua vyote kama alivyofanya fedhuli, bashiru na kale kababu ka Goba
msiibe masanduku ya kura
Twende kazi.
chama kinachojiita kina hoja kinaiba hadi uchaguzi wa kijiji ?
kawambie mazuzu wenzio
 
Back
Top Bottom